@koppachannelislamic: #koppaupdates Mara ya Mwisho ni lini kusaidia wezako. Unayajuwa maajabu ya Allah baada ya kuwa mtu wa kuwasaidia watu fanya hayo ujionee makubwa ya Allah. Kwa update zaidi usiache kutufatilizia kwenye mitandao yetu ya Kijamii share likes na comment #koppachannelislamic #koppachannelislamic1