@bashedairy.farm: Bashe Dairy Farm🇹🇿 Pure Agricultural Practices✅ #MifugoTanzania #UfugajiTanzania #NgombeTanzania #Tanzania #TanzaniaTikTok

Bashe Dairy Farm 🇹🇿
Bashe Dairy Farm 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 25 October 2026 07:19:22 GMT
168475
7759
2
558

Music

Download

Comments

kibabake1
Kibabake :
King he build his empire hongera🙌
2026-10-26 14:31:33
0
amosmachete
amosmachete :
Respect 🫡 respect 🫡
2026-10-25 22:56:31
0
mwasumbi.jr
mwasumbi jr :
ndoto zangu one day zitatimia [Hands open][Hands open]
2026-10-26 15:05:10
0
one.plus118
One plus1 :
A Man with Vision Mansha Allah.
2026-10-26 08:11:50
0
l.l.oles
L.L.o :
muheshimiwa your so kindly
2026-10-26 08:53:31
0
2024gmai.co.com
2024gmai.co.com :
see you at the top
2026-10-25 17:05:10
0
david.myalle
David Myalle :
At Least He's Doing Something Productive kwa Jamii, Wengine wameishia Kujenga Apartments na Kuwaponda Vijana
2026-10-25 09:35:31
172
mbarikiwapasko
Ingo ZE borbo🫶🤣🫡👈 :
Wanaokuchukia nawaombea zaburi ya 109 Naomba siku moja uwe Rais wa Tanzania
2026-10-25 09:59:57
31
imarapro
imara :
nakukumbuka sana wizara ya kilimo ww hii sekta kwakweli umeitendea vizuri sana.
2026-10-25 09:27:04
50
detuchic
detu chic :
Bora wewe umetoa hata ajira, kuliko hawa wanaonunua mavieiti
2026-10-25 09:42:34
41
izzongabo
Malisafi Square :
Hivi Jamaa anapata faida kweli Kwa hizi bei soko la ndani au anauza nje ya nchi. Maana hapo operation costs zitakua juu kuliko faida.
2026-10-25 09:54:28
30
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
Ukiskia watoto wa Mkulima, ni Waziri Mkuu Mstaafu Pinda, na Mh Bashe
2026-10-25 09:04:42
22
yunusdude
Mr.Yunus :
ndoto yangu kua bwana shamba mkubwa natamani siku moja nije nijifunze kitu
2026-10-25 09:47:41
13
smailrah0_
R💕 :
Mnapokea wanafunzi kwa kujitolea , field au attachment?
2026-10-25 15:48:32
11
sam71581
sam :
Kenya kuna Rais Ruto na Tanzania kuna Mh Bashe kwenye kilimo ni mfano wa kuigwa.
2026-10-25 10:07:27
9
mkati2193
Ms _Mkati🇹🇿 :
Atleast Tz kuna kiongozi Kichwa anayefundisha Kwa Vitendo watoto wa wakulima 🙏
2026-10-25 16:53:09
6
user72566108332614
user72566108332614 :
naamin vijana tukijifunza kupitia mh bashe kweli tutafika
2026-10-25 10:03:43
5
rajabmnyimwa
ramadhani maramsha :
safi sana kiongozi, tungekuwa na wabunge 10 kama wewe nchi ingekuwa mbali sana
2026-10-25 09:17:03
5
fungluddy
Fungluddy :
baora yako umeajiri hata e watanzania kuna wale wa kuficha hela nje dah
2026-10-25 16:32:13
6
hussein.bashe
Hussein Bashe :
waoooo
2026-10-26 09:34:26
1
asam.d
asam d :
hii inapatikana wapi nataman nije kufanya Kazi ya operator
2026-10-26 05:59:29
0
kipara18
kipara :
Ma Sha Allah
2026-10-26 13:35:07
0
mamasitatz6
mamasita :
real hustler
2026-10-26 14:37:44
0
amos.isaya4
Amos Isaya :
good good mkuu
2026-10-26 06:30:48
0
user00330854
millie :
Hongera sana
2026-10-26 06:36:39
0
To see more videos from user @bashedairy.farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About