Mbona me sijawah PATA mchumba shule[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-25 21:55:25
0
Selma❤️ :
Proud to be😂😂👍
2026-10-25 22:09:18
0
Cute g💞 :
watot wakislam mpo moto san😂
2026-10-25 10:22:35
310
Jessy🦋🥰 :
Basi apo Binti anaona huyu ndo mumewake 😂😂😂
2026-10-25 17:23:02
134
Assy mzungu :
hivi mbona sijawahi kua na mchumba shule jamani hii inakuaje
2026-10-25 09:34:45
295
mama 🌷brighitness♥🌷♥ :
mix by yas
2026-10-25 20:25:12
0
salma🤎 :
msalaba na juba mchanganyo mix by yes 😂
2026-10-25 17:59:16
27
MC KALUTA :
Msalaba na jubaaa
2026-10-25 11:13:51
46
official Hasnath💋💕 :
mmmh ngjaa nimuitee gwajimaa ukuu😁😁
2026-10-25 10:22:22
42
Tasneem Mia💋 :
Kumbe mi nlikua mshamba primary mpaka secondary
2026-10-25 13:26:47
23
sudy :
Kama mzazi najiona naenda jela
2026-10-25 12:43:38
26
smilestrong :
kwani shule za siku hiziii jamaaa🥲🥲🥲Mungu saidia watoto wetuuu
2026-10-25 18:23:29
8
𝕸𝖇𝖔𝖓𝖌𝖊 ⚡ :
Ila wanafunzi wa zama hizi 🙌😂
2026-10-25 12:05:03
17
jessy❤️😎 :
wangu ni uyo ako na sweta kichwan 🤣🤣🤣
2026-10-25 10:20:52
23
🦋🦋🦋NEEMA🦋 :
yaan tunasomesha wake za watu
2026-10-25 11:42:17
14
MASTER RAMMIE 👑 🥋 :
Siku ndo nimkute dada yangu anafanya hivi. Nitamfanya kuwa constant na nitam differentiate.
2026-10-25 20:20:38
4
jasymine19 :
Miii nae sio masomo tyu hadi huku nilishika nafasi ya mwisho 🙌🙌🙌
2026-10-25 14:32:49
5
God's🥰Last born ❤️🥳 :
au hii nd elnino walisema jmn🙌🏼
2026-10-25 13:49:52
5
Aneduardo :
😂💔
2026-10-25 18:41:48
1
little princess👑 :
Hizi form4 za 2026🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-10-25 14:18:22
3
reenkido :
Ila wa hitimu wa mwaka huu mnavipaji mweee[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 15:01:38
4
thisismonah🎀 :
Mpo wa moto sana 😂😂😂😂😂 mimi ningekutwa nimekufa na chanzo cha kifo changu ni hizo fimbo za baba angu. Mana alikuwa anapiga kama anaua nyoka😂
2026-10-25 16:43:41
1
sonien :
dini n ile ile😅 yeny matukio yak
2026-10-25 12:54:29
4
𝐐𝐮𝐝𝐫𝐚𝐭ツ🧸🤟🏾 :
Vile kafupii napendaa mimi❤️❤️❤️❤️
2026-10-25 14:20:43
2
Mum Larissa :
Wazazi chunguzeni watoto wenu, mi mpka nina miaka 19 nikitoka nikirud mama yangu ananivua nguo ananikagua nilikuwa nachukia ila nilivokuwa namuelewa sasa. Mama yangu Allah akujalie pepo akuondoshee adhabu za kabri🤲
2026-10-25 18:49:13
2
To see more videos from user @fish.kidd4, please go to the Tikwm
homepage.