@dicksonkazola03: #creatorsearchinsights #fortoday MDAU anauliza? Haya maudhui hayalengi dhamira mbaya ya kuleta udini Bali kujadili kiupana kwasababu mabinti wengi wanaovaa ushungi Ndio wamekua wakionekana kutoa matamshi yasio na busara katika jamii, #fypシ❤️💞❤️ #reelsviral #instagram🇹🇿

Mc Wa CHUO 🎙️🎤🎧
Mc Wa CHUO 🎙️🎤🎧
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 08:12:59 GMT
273979
10076
948
309

Music

Download

Comments

user9782675474319
user9782675474319 :
Ya Rabby
2026-10-28 12:55:03
0
binkasuluba281
YACO bin JOSE :
hii yot shida technology
2026-10-28 10:36:58
0
eng.mbunga
ENG PIERRE :
vitoto vya am proud to be😀
2026-10-27 20:17:59
0
kalaghe85
It's _chumu💞✨ :
sio Kila anavaa hijab n muislam
2026-10-25 10:14:21
288
user9610077872509
stopper :
sio Kila anayevaaaa hijab ni muislam
2026-10-26 11:14:08
42
user73222855773172
Yazeed_ Mobare :
Shule za Dar na wakaazi wa Dar 80% ni Waislam
2026-10-26 17:07:02
24
ms_edith11
ms_edith11🇹🇿🇺🇸 :
Vitambaa vya dini ya masista vinajulikana na vya haki vinajulikana
2026-10-26 05:20:08
23
joharimaneno119
ayra ✨🌸 :
Kanda ya ziwa huwez kuona haya mambo
2026-10-26 09:28:39
23
floooooreee
Flooooreeeee mimi :
apo kuna halima, Nasra, zaytun, amina, aisha,
2026-10-26 07:36:37
13
user88206714485815
hamybae🎀🎀 :
siyo kila anaevaa hijab ni muislam wengine ni vazi tu wanapenda kuvaa
2026-10-26 19:21:43
15
user9902066925385
~cranke~ :
kuna haja ya form 4 wakimaliza waende jeshi
2026-10-26 08:46:28
22
ram.efx4
Ram Efx☠️☠️.. :
Division 0 hizoo ..ila mung anisameh tu
2026-10-25 11:11:56
18
user6881818806914
tattie 😚 :
dini ya kiislam ni dini ya kweli Ndo maan changamoto Kam hzi zipo
2026-10-25 14:53:02
14
cool.kid901
￴ ￴￴￴￴￴ ￴ ￴￴￴￴￴ ￴ ￴￴ ￴ ￴￴￴￴￴ :
wale wa am proud to be wako wapi 😄😄😄
2026-10-26 11:56:44
5
totory0053
MacDonald Tanzania Safari :
am proud to be a Christian ✝️🥰
2026-10-26 06:00:28
5
hamzamkumbi
mkumbihj :
wazazi wengi wa kiislamu wanaishi kiswahili. wengi wamekwama kwenye malezi kwasababu wanaishi kimazoea na sio kwa kufuata muongozo wa dini yao
2026-10-26 13:48:32
15
o78665musasaid
Mussa saidyy123** :
mmmh namba G izo mtaani ngoja niwahi🤣🤣🤣
2026-10-26 18:35:38
5
witnessmichaelmbu
Witness Michael Mbuya :
pale unapompeleka mwanao shule ya dini ili awe na nidham Mungu awasaidie
2026-10-25 13:59:16
11
mom.g800
✨Mom G✨💞 :
Nimesoma na rafikiangu happy na alikuwa anavaa juba vzur tu cyo kila juba muislam
2026-10-26 08:23:44
6
2mach_emmy
Mimah 🫣🫣 :
ijabu ni vazi la stara tu kwaiy so kila anaevaa ijab ni isilamik nawanatuchafua kwel Kwa vazi letu Allah awasameh
2026-10-26 07:29:53
6
mrshake13
mrshake13 :
Serikali ipunguze miaka 30 😂😂
2026-10-25 10:59:57
6
user59992872814326
Pallangyo :
apo mwajuma akosekan 😁😁😁😁😁
2026-10-26 20:11:08
1
bundeswauswahilin0
Gigi wa uswahilini 4⃣5⃣ :
😂😂😂 wanalahana
2026-10-27 18:48:47
1
chidox.265
chidox 26% :
Hiyo fashion tu asaiv kila mtu anavaa
2026-10-28 06:38:38
0
danisjontes
Dennis :
kweli dada 🤣🤣🤣
2026-10-25 15:55:30
2
To see more videos from user @dicksonkazola03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About