yote kwayote sisi siyo wakutoa ukumu.... tujifunze na tujiombee mengine acheni maana akuna anayejua yanayojiri kwenye kaburi lake... tusikose hofu yamungu jamani
2026-10-25 09:17:51
6
Maryam Marayum :
Na wewe ulikuwa na haja gani ya kumpost? Mwacheni marehemu apumzike kwa amani, si kila mtu lazima amp ost. Kaeni kimya na mheshimu marehemu.
2026-10-25 15:10:10
4
mammy jay :
ya allah atujalie mwisho mwema
2026-10-25 22:00:36
0
nenda Salama 😄 😄 😄 :
na ww je
2026-10-25 22:11:58
0
weshy weshy :
kweli kabisa tumuachie yy na allah wallahi cc atuezi hukumu mtu aliyakua mungu bado yupo na pia tujue visa vya zaman kuna mumin moja alikua akiuwa watu adi akafikisha watu 99 siku moja akaenda kwa shekhe na kutaka kurud kwa allah atubu kwa aliyo yafanya lkn sheke alivyo elezewa na yule mumin alimwambia allah aezi kukusamehe akakasirika akamuuwa pia sheke akakamilisha watu 100 ikawa hana amani kabisa akaulizia shekhe mwingine mitaan akaambiwa kunae shekhe seemu flan akaenda na kuonana nae na kueleza kila kitu bac yule shekhe akamwambia ipo njia ya kusamehewa na allah akafurai afu akaambiwa inatakikana ww uame apa kuna mji uende uko ndo utaenda kutubia dhambi zako zote basi yule mumini alianza safaru kati kat ya safari akashikwa na kiu kikali na akua na maji yalikua yameisha ikawa hana budi kukamilisha safar coz njia za izozama azikua na nyumba n majabali tu bac akaenda na kiu chake hatua ndogo akaanguka na kupoteza maisha bac mwenye kuadhibu alifurai coz alimsubir kwa hamu kwasababu ya machafu yake lkn malaika wema walisema kua alikua na nia yakutubu wakasema wanaotaka kumuadhibu kua lkn ajafika uko kwa kutubu kafia njian ikawa ugovi wale wanataka kumuadhabu na wale wanataka kumueka kwa watu wema kwasa ashakua na nia ya kutubu bac allah akasema wapime iyo njia kutoka aliko toka na alikokua anaenda ikapimwa ikapatikana kua alikotoka n mbali na aliko kua anaenda n karibu ndo kumebaki bc allah akatoa maamuzi kua n mja wa pepon kwasa ashafika seemu ambayo aliitilia nia kwa moyo wote na kutaka kurudi kwa allah na akawa mja wa pepon...kwaiyo tusiukumu watu cc wanadamu allah anajua kazi yake waeza mlaumu na hayo mnayo sema lkn lambda kuna machache mema ambayo allah anayajua yy yan tumuombee tu na tuache kupost uchafu kuen tu kam mm mke wa mtu sijiposti niligia apa kujifunza kutoka sija olewa adi nimeolewa sipost mume wangu wala watott wangu yan kwa baat mbaya lbda whatsp na kuna watu ninao wajua na kuwaeshimu na sio mambo mabaya ni kam siku ya furaha tukwa famil ndo napost wallahi tufanye mena kuswali kwa sana na kutamka idhkary kila mda na kuswali taajudi n dhuwaa coz hii dunia adaa tupiganie mwesho mwema udugu zangu...shukran nawapenda kwajili ya allah🤲❤️
2026-10-25 14:46:13
2
ummu salim😘 :
kweli kabisa uwenda hizi post zao wanazorudisha vidio zake ndio zitakazo msafisha mbele ya haki tujifkirie sisi ni wanadamu atupaswi kutoa hukmu ispokua allah subhanawataalah wawezaje kuingilia kazi ya mungu nseme tu allah atuongoze tunaokosea na atupe mwisho ulio mwema na amsamehe makosa yake yasiri na dhairi nasio kuwa twamtetea laa ila kama mungu ni mwingi wa huruma nasi pia tuwe na huruma tusifanye hivi kabiaa usussan sisi wanawake tustiriane walai unakuta wanawake wingi ndio tunayapalilia😭allah atusameh duniani mpaka kesho akhera amin inallilahi wainailehi rajiuun pumzika kwa amani sister kwani waislam sote ni ndugu allah akuepushe na moto wa jahanam allahuma amin🤲🤲
2026-10-26 04:47:24
0
KM :
kweli kabisa na hakuna alie mkamilifu
2026-10-25 20:19:28
1
user8808768818441 :
Allah tujalie mwisho uliokuwa mwema molangu sisi kwako silolote wala chochote tujalie iman zakutosh
2026-10-25 16:03:39
1
@ummy ima :
hakika kila atakae post video zake anazidi kusambaza upotovu hili ji sawa kabisa
2026-10-25 15:13:49
1
chacha :
Afwan yaliobaki yote ni yake na Mola wake, kwetu sisi kwake yeye ni Dua'a tu peke yake.. Hakuna mkamilifu zaidi ya Allah subhanahu wa taala nae ndie mkuu wa kuhukumu...kwetu sisi liwe funzo na tuyatende yalio mema hapa duniani na kesho Akhera
2026-10-25 17:53:36
0
nchiruwa9 :
tell them😭😭😭😭
2026-10-25 18:05:15
0
YOUNG FIJI :
إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اغفر لها وارحمها واسكنها فسيح جناته يارب العالمين [Crying][Crying][Crying]
2026-10-25 15:07:18
1
Balsam G❤ :
nikwelii kabisaa sio vzurii
2026-10-25 14:16:03
1
maryam8 :
mwenzetu kashamaliza safari yake vip mm na wewe ambao hatujui safari yetu itakuwa vip na mwenye kuhukum ni mungu sio ss wanadamu mpumzisheni jmn inatosha sasa maan hta ukimpost haisaidii lolote kwa sasa Yaraab tupe mwisho mwema inshallah🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-25 17:07:21
0
niyyat :
Ya Allah tupe mwisho mwema
2026-10-25 11:07:14
0
Fatma mwarabu097 :
mungu mkubwa jamani tusiadaike na pumzi na Dunia ikatuhada mwenyezi mungu tupe mwisho mwema na yeye piamsamehe alipo kosea
2026-10-25 12:01:00
0
Saida Rashidi :
kwa hili tumuachie mungu yeye ndie ajuaye hatma yetu 😭😭😭🤲🤲
2026-10-25 19:49:14
0
Thiago Ramiley 06 :
tuacheni kufanya upuuzi na tuache kufanya mambo yasio mazuri mtu huzungumzwa Kwa matendo yake .... kitu muhimu wanawke munajisahau Sana mitandaoni mtu unamfahamisha vizur ankuja kukujibu Matusi haifai pumzi zisituhadae.... na kikubwa tumuombee dua mungu amsamhe makosa yake
2026-10-25 16:20:46
1
Gavuga De grandson :
Kabla ya ushahidi wa siku ya qiama watu hutoa ushahidi siku ya kifo chako kuh vipi ulikuwa duniani kwahyo Tumcheni Allah na maisha ni hadithi basi tuwe na hadithi nzuri ya kusimuliwa siku ya tutakapoondoka duniani
2026-10-25 15:47:59
0
SHEKH-NASSORO :
سورة البقرة، الآية ٢٠٦
﴿وَإِذَا قِيلَلَهُاتّقِ اللّهَأَخَذَتْهُالْعِزّةُبِالْإِثْمِ ۚ فَحَسْبُهُجَهَنّمُۚ وَلَبِئْسَالْمِهَادُ﴾
Maana ya Kiswahili:
Na anapoambiwa Mche Allah, kiburi humchukua na kumpelekea kutenda dhambi. Basi Jahannamu inamtosha, na hakika ni mahali pabaya mno pa kupumzikia.
Marejeo: Suratul-Baqarah (2:206).
2026-10-25 11:10:14
2
bint_gaddaff :
allahumma ghufrlaha
2026-10-25 09:34:43
0
shekhe salumu :
ndio Mungu kasema tusome ili tupate kujua wengi awajasoma na unapowaambia wanaona kama unatetea maovu kumbe haya ni mafundisho ya Mtume tumekatazwa kuisemea vibaya maiti
2026-10-25 12:45:14
1
👑 IRON LADY 👑 :
subhaallah Mungu atupe mwisho mwema na yeye tumuombe maghfra Allaah amsamehe dhambi za siri na dhahiri ameen yarrab🤲
2026-10-25 09:07:02
0
بنت حسين :
kila mda mtu anampost ndio unampunguzia yeye madhambi mupoo yeye atapambana na Mola wake na sio kiumbe kumhukumu yeye.Alhamdulillah kila mtu ana mapungufu yake na sote tutaadhibiwa😭😭😭
2026-10-25 12:37:15
0
To see more videos from user @queenofsmile070, please go to the Tikwm
homepage.