@kaniki_store: 🧵 BAG STITCHING MACHINE – Mashine ya Kushonea Mifuko 📞 WhatsApp 0711 962 681 🔧 Maelezo ya Mashine: Mashine hii maalum imetengenezwa kwa ajili ya kushonea mifuko ya aina mbalimbali kama vile: ✅ Mifuko ya Unga ✅ Mifuko ya Mpunga ✅ Mifuko ya Mbolea ✅ Mifuko ya Mifugo (pumba, chakula cha kuku) ✅ Mifuko ya plastiki au gunia za katani Bei ndogo ya china 220,000 Ya njano 245000 Bravo uzi 1 330,000 Bravo nyuzi 2 385,000 ⚙️ Faida za Mashine: ✨ Haraka – Inamaliza kushona mfuko mmoja ndani ya sekunde chache ✨ Imara – Imetengenezwa kwa vifaa vya chuma vyenye uimara kwa kazi ya muda mrefu ✨ Matumizi Rahisi – Haitaji ujuzi mkubwa kuitumia ✨ Hupunguza gharama – Hakuna haja ya kushonea kwa mikono au kuajiri mtu wa kushona ✨ Inashona kwa nguvu na usalama – Hakuna kuachia au kufunguka 🔋 Zipo mashine za manual, semi-auto, na electric (umeme) – kulingana na uwezo wako na matumizi ya biashara yako. 💼 Inafaa kwa: ✔️ Viwanda vidogo na vikubwa ✔️ Wakulima wanaopakia mazao ✔️ Wajasiriamali wanaouza mbolea, chakula cha mifugo n.k. 💰 Bei yake ni nafuu ukilinganisha na faida yake – ni uwekezaji mzuri kwa yeyote anaye-pack bidhaa nyingi.

Kaniki store
Kaniki store
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 08:30:52 GMT
22
0
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kaniki_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About