@amokiz.66: MASHEKH WAKIWA WANAIMBA EIMBO WA DRAKE ,GODS PLAN,, IMENISHANGAZA SANA #tiktokviraltrending #tiktokkenya🇰🇪 #amokiz #tiktoktanzania🇹🇿 #foryoupage

Amokiz.66
Amokiz.66
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 08:58:19 GMT
47353
2115
345
88

Music

Download

Comments

3hirty6ix_36
3hirty 6ix :
https://vt.tiktok.com/ZSgXAeoXW/
2026-10-26 09:42:24
0
yassirmuhamed249
no love :
she ao s mashekh mdgo wngu
2026-10-25 19:01:09
0
anudreezy
dreezy :
poa tuu
2026-10-25 17:45:45
0
rashidseif315
Rashid Seif :
halafu sio kila muarabu ni muislamu
2026-10-25 13:41:06
56
psonic2021
jr :
young said yuko wap apo
2026-10-25 17:40:36
0
abdulbach2858
abdulbach2858 :
Kanzu nchi kiarabu ni vazi la kawaida
2026-10-25 15:16:12
27
khamisassaa0
Khamis Assaa :
sio Kila anaevaa kanzu ni shehe brother na sio Kila muarabu ni muislama jitambue brother au Kila anaevaa msalama ni muhubiri
2026-10-25 11:37:51
45
princekid379
Prince Kid :
astakfir
2026-10-25 17:52:53
0
user8125333181250
@naama the D :
mashehena Sy masheh
2026-10-25 16:33:59
0
sameeramrirajabu
Sameer Amri Rajabu :
Asa we aliekuambia kila anae vaa kanzu ni muislam kama shida ni kanzu ata Yesu alivaa sana tu
2026-10-26 07:22:06
6
user912214313779
Black tiger😼😼 :
Sio kila anaevaa kanzu ni shekh au muislamu.....
2026-10-25 09:43:31
20
user1845506099153
Mrs Amos :
Naona kuna mwenzetu anasema eti sio kila muarabu ni muislam naomba kujua kuna muarabu ni mkristo jamn
2026-10-25 20:00:35
3
amokiz.66
Amokiz.66 :
ivi hawa mashekh wanatuchukuliaje sisi et muziki ni anasa na hao wanafanya nn hapo ?? naombeni majibu
2026-10-25 09:02:44
2
abdulrahmansaid818
Bad_hunter :
kanzu nivazi tu sio Kila anae vaa kanzu ni sheikh kwahiyo usijaji tu bila kujuwa
2026-10-25 15:16:07
4
zola_pubg0
PUBG TIKTOKER :
The world has reached it end
2026-10-25 16:19:24
0
black.panther095
Black panther ⚫️ :
Kama ni madancer wa mondi tutajuaje
2026-10-25 15:50:59
1
official_sheila_tz
شريفة🌸 :
ila AI
2026-10-25 11:29:46
0
alphasdady
B.I.G :
masheikh au watu wamevaa kanzu
2026-10-25 15:30:14
0
rjnbnjhb
rj :
sio kila anaevaa kanzu ni shehe
2026-10-25 12:14:36
4
mkopaartist26
@MKOPA_ARTIST26 :
ilo ni vazi tu kaka
2026-10-25 23:18:18
1
kuruthumu.mohamme
khasyu ❣❣ :
hao waarabu kuvaa kanzu ni asili yao hata kam wakingia clab ni vaz lao la asil sio kwaajir ya shekhe kam unavyona afrika ni kitenge vazi la asili
2026-10-25 16:35:24
3
elyasdragon1
elyasa dragon1 :
kunashee wapi
2026-10-25 18:05:26
1
jssn.member
jssn member :
😂😂😂kila nikiangalia comments nachoka mm apo wanakana jmn ila wangekuwa tu hawajaimba ungesikia I'm proud of ----😅😅😅 jmn
2026-10-25 18:14:20
1
99arman9k9
HD٭ 𝐀𝐑𝐌𝐀𝐍 :
kwani kila Anaevaa kanzu na kilemba ni sheikh au basi na diamond pia ni sheikh
2026-10-26 06:32:56
1
ayman_seif
Im Jay :
Hao ni mashekh au wamevaa kanzu
2026-10-25 13:44:50
1
To see more videos from user @amokiz.66, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About