Huuu wimbo ni mzuri kila kona wakuu ..ukimtaja basist pekeake unakua umemuone drummer...ukiishia hapo nafsi inakukumbusha ile sauti "Me sijakuona badoooo ..alooooo 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-10-26 07:21:22
47
kerewe boy :
hapa S2kizzy na T touch..
Wakae pembeni waje na kalamu na daftar
2026-10-26 06:42:35
26
Eddie :
Acheni Mungu aitwe Mungu jamani
2026-10-26 08:50:51
12
City Elder Media 📸 :
mi sijakuona bado agudugudugudu😂
2026-10-26 15:30:58
2
Nyembah 👌 :
Mwaka huu watu mpaka tuokoke sas😁
2026-10-26 08:57:19
11
ACTOR :
achana na kila kitu mzee wa drums amegonga sana
2026-10-26 12:42:12
7
VIOFARM🍀 :
sema na huyu mi sijakuona bado aguduguduuuu😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-26 16:48:15
2
Bless_G🥁✝️🔐 :
alafu kuna solo pemben kidogo na mix ya keyboard hatar hio🔥🔥
2026-10-25 21:00:43
8
Israh! :
Sema tuache masihara.. Unasikia hizo touch za Solo!?🫡
2026-10-26 07:16:35
4
🦋 miss D💕❤️ :
Kituuu kisikilizeee iwe pods hatariiii unatamaniii uchezeeee [Heartwarming]
2026-10-26 08:59:43
5
Shabiru Mwarubain :
Maua yaende kwa benzi gita
2026-10-26 13:30:03
4
John :
2026-10-26 09:34:39
4
Agatha💙 :
Hali hii ni duniani nasisimka ad nywele 🥰 Uko mbingu itakuaje jaman🥺🥺 Mimi Yesu Asiniache jaman ❤️🙏🏻
2026-10-26 16:16:49
2
Lady P Outlets 🇹🇿 :
basi watu wenye magari dar wakiona hyo barabara nd wanajiuliza kumbe inawezekana barabara ikawa Haina foleni😂😂😂
2026-10-26 14:00:20
1
Barnaba Barnaba :
Ila AirPods Zangu ni 🔥🔥🔥
2026-10-26 08:34:24
4
Amos JN :
oy ebu mzingatie na mtu wa keyboard
2026-10-26 11:11:43
2
Jordan 03 :
Mpiga drums nae sio haba apo mwishoni🥰
2026-10-26 12:02:42
2
LB99 MĤÀÐÂ :
bassist is so 🔥🔥🔥🔥
2026-10-25 12:18:41
1
Eddie :
Anajuuua bn 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-10-26 08:50:21
1
🌹Gian mom🫦🇹🇿 :
napenda hapo anaposema mi sijakona badooo
2026-10-26 17:57:05
1
YUZO DRYCLEANER :
abugudugudu
2026-10-26 11:05:36
1
unknown_son💦 :
ni noma
2026-10-26 11:49:51
1
gideongkif :
solo Guitar 🎸 maua yake jamani
2026-10-26 14:24:32
1
teacherboy :
alaf huyo anayeimba sijui ni masanja
2026-10-26 12:35:34
1
To see more videos from user @mwakanyokix0, please go to the Tikwm
homepage.