@finishingmaster: MIGOGORO YA ARDHI TANZANIA: TATIZO NI SERIKALI AU UKOSEFU WA ELIMU KWA WANANCHI? Inaumiza kuona mtu anajenga nyumba kwa jasho lake, anaishi na familia yake kwa miaka mingi, halafu siku moja analazimika kuondoka au kubomoa nyumba kwa sababu ya mgogoro wa ardhi. Je, tatizo ni mfumo wa usimamizi wa ardhi, uzembe wa mamlaka au wananchi kukosa elimu ya umiliki wa ardhi? Tunahitaji majibu na suluhisho la kudumu. Haki ya ardhi ni maisha ya mwananchi! #FinishingMaster #MigogoroYaArdhi #Tanzania

Finishing master
Finishing master
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 09:10:37 GMT
2688
35
2
1

Music

Download

Comments

tunny_caketamu931520
♈️Tunny_caketamu🇷🇼🇹🇿💜 :
Tatizo ni elimu watu wengi hawajuu elimu ya umiliki wa Ardhi 😥 mimi sasaivi nshukuru nimepata elimu ya Ardhi so kuzurumiwa ni nikitaka mwenyewe
2026-10-25 21:54:35
0
kalibakidessanewasupa
kalibakiDessanewasupa :
🥰
2026-10-28 06:10:50
0
To see more videos from user @finishingmaster, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About