@luxuryangeltz: remmy wa chanja storytime with luxury angel storytime part 2 #kenyantiktok🇰🇪 #trending #fyp #ugandatiktok🇺🇬 #tanzaniantiktok🇹🇿

LUXURYANGELSTORY🇹🇿
LUXURYANGELSTORY🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 09:25:04 GMT
212865
18034
271
60

Music

Download

Comments

user3117487343453
recho :
Nimeumia san Remy kutoka kwa mama chanja
2026-10-25 10:52:13
188
sauda.abdalah8
❤️سَوْدَة :
Naomba mungu isiwe kweli 🙏😭
2026-10-25 13:43:29
333
.reeney
.reeney :
hii video ya mda saaa
2026-10-25 17:24:30
23
sandals.chap
Sandals chap :
Atazikumbuka zile hela alizokua anasema hataki kulipwa😁😁😁😁
2026-10-25 09:56:45
409
neyotz1
Ne-Yo Swax 🌏 :
Kama Amani ya moyo anayo acha tu aishi ivyo
2026-10-25 10:50:04
119
rebekadaud55
I'm officialrebeca :
yazamani bwana badoyupo kwa mm chanja em acheni
2026-10-25 11:13:39
64
sesiliamanzagata
Sesilia Manzagata :
najua ma chanja wala huwa hatishiki na maneno ya watu na watafika mbali Sana kibiashara na wala hawata gombana
2026-10-25 17:12:44
14
safinia3chaupole
NIA❤️ :
UTESEKE KISA MTU KAKUTOA MAVUMBINI BASI ATAANZA MAISHA YAKE NA MUNGU ATATOA BARAKA UPYA JUU YAKE NDO MAANA MIMI STAKI NITOLEWE NA MTU USTAA NITAUPATA MWENYEWE
2026-10-25 11:01:05
21
breezyra
charming cherub :
video ya zamani hiyo
2026-10-25 14:26:16
20
user0682208217
Joyce :
Watu mnaangaika na maisha ya uyu kijana mnatamani nafasi aliyopo kwa mama chanja iwe yenu au😏😏😏😏😏😏uzuri Mungu anajua hatima ya kila mja wake.
2026-10-25 14:36:00
30
user45190178024874
Wangatia1 :
theirs hope in every thing
2026-10-25 19:12:00
0
neemaelipidius
neemaelipidius :
yote nimaisha kikubwa uwe nahamani yamoyo chako nichako tu ata upitie magumu kihasi gani
2026-10-25 12:22:28
17
mirrahabubakary
mirrahabubakary :
ila watu mnatamani mwenzenu arudi katika shida
2026-10-25 12:08:22
12
jubilate.shao
jubilate Shao :
jamani mama chanja kakulea sana Sasa shida ni nini???
2026-10-25 10:26:06
6
ndayikengurukiye594
ndayikengurukiye :
ataendelea tena gupigana mungunimukubwa tena akopandeyenu🥰🥰🥰👏
2026-10-25 09:30:18
6
user7751595726396
user7751595726396 :
hayo ndo maisha yetu
2026-10-25 10:08:13
10
oneynelia
Oney Nelia :
usikate tamaa mungu aliyekupigania mara ya kwanza hata kupigania mara ya pili neno la mungu linasema mara ya yule amtegemeaye mwanadamu ame. barikiwa yule amtegemeaye bwana yeremia 17:5
2026-10-25 11:37:33
9
baby.mamoon
❤❤shykunee :
dah remy
2026-10-25 14:14:56
2
tysonmwamolwa
reyma..girl :
duh
2026-10-25 10:32:40
7
cowboy.www
choir master :
moyo wangu unauma na cjui ata nalia nini sasa naomba basi isiwe kweli bwana
2026-10-25 20:00:51
1
nostal0984245422nasby
tony :
[En larmes][En larmes][En larmes][En larmes][En larmes][En larmes][En larmes]@
2026-10-25 16:54:26
1
iam_abdull084
Its Abdull ✌️😜 :
Unajua Sometimes tuseme kweli bongo hampendi kuona watu wakiishi vizuri kwenye life zao mnapenda kuona wenzenu wakianguka sanaa huo sio mpango wazee
2026-10-25 19:20:19
1
godsdaughter611
Rizzy wa north 🦋 :
Video ya muda hii jamn mnajimaliza kwenye comment sana😂😂😂
2026-10-25 11:40:20
2
precious_queen45
Precious :
Alizidi uswahili nae
2026-10-25 15:05:43
0
lizz58982
lizz589 :
hii ya muda mbona
2026-10-25 19:50:14
1
To see more videos from user @luxuryangeltz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About