that's me haki, thought ntapumzika kidogo lakini mwingine on the way
2026-10-25 16:00:10
0
Jane Kimondo :
na Kuna Mimi mama wameachana divorce mtoto wa one year akaambiwa akae na baba ,baba ni military akaniletea mtoto na akaenda Sasa naumwa na kichwa left right center
2026-10-25 20:32:50
0
rop joy :
huyo ni mm sasa,,wangu Ako kupata kifaranga kingine😂😂😂😂