Asikilizwe mama tu, babake hafai, mungu akiwanyamazia mnalalamika😭😭
2026-10-27 06:33:55
10
Tina Kidoti😍♋ :
Tujahidi kuandika neno Mungu na sio mungu
2026-10-25 15:54:58
136
Queen001🇰🇪 :
Tanzania Kila mtu ni mwimbi😳
2026-10-26 14:30:20
12
Elias :
kanaimba vzr ila kaboreshe pafom acheze hata kidogo
2026-10-27 08:30:27
10
mecheta :
The chosen one❣️
2026-10-26 16:17:57
0
Cynthia Madame Hyppolite Liasa :
Oooh baba 🥹🥹🙏🙏
2026-10-26 15:36:51
0
Mighty warrior :
be blessed
2026-10-27 11:00:12
1
user6567331676224fariblessed :
Blessings
2026-10-27 17:54:57
0
WinniLiam :
Zamani wakati mama yangubyuko hai nilikua nasahau hadi kuomba wakati wa kulala na kwenda kazini mama alikua ananiombea sana baada ya mama kufariki nikawa nalala bila kusali naenda kazini bila kusali mambo yakawa magumu mpaka sasa huwa nainua macho naongea na Mungu kwa imani japo maneno matano au matatu naona mambo yanaenda
2026-10-25 17:40:40
18
j love quite :
god bless you
2026-10-26 21:27:26
2
Rose Mliwa :
kalianza kama masiala hatimae mungu amefungua milango MUNGU akuinue zaidi ya hapo
2026-10-25 11:37:09
263
Salome Mgao :
🥰🥰🥰🥰🥰 woooooooooo MUNGU BABA awatuze mtoto wangu 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-25 10:50:39
17
gifti julius :
hongera mwanangu mngu akuinue kwa iwango
2026-10-25 17:48:34
30
Ma g :
hongera mami
2026-10-25 12:54:47
18
Mahaya :
umependeza mwanangu,hizo ndo nguo,hongera kwa wimbo mzuri
2026-10-25 13:56:20
11
Mama Temarioh Daniel :
jameni mamangu ni marehemu, nani ataniombea haki? Mungu sikiliza moyo wangu
2026-10-26 14:23:26
9
Diana princess :
Amina mtoto mzuri
2026-10-25 20:27:06
6
indumbu❤️😍😍 :
nguo zake ananunua wapi Zuri kweli[Tears of joy]
2026-10-25 18:51:56
20
Mom JJ❤ :
kamependeza kenyew hadi rahaa
2026-10-25 15:25:15
8
Lucas Anne :
Naomi Mungu akubariki SANA mdogo wangu, unapatikana wapi kwa huduma zaidi mfano akitaka mtu kwenye hudu
2026-10-26 21:31:05
6
Jackie :
Amen
2026-10-25 11:41:35
7
brightness :
bwana.akupe.nguvu
2026-10-25 10:53:59
18
To see more videos from user @mtotonaomi, please go to the Tikwm
homepage.