@fitstars_1: CHALLENGE YA KUPUNGUZA UZITO IMERUDI! 🔥 NANI YUKO TAYARI KUJIUNGA? 👀💚 CHALLENGE INAANZA TAREHE 1 NOVEMBER 2026 Je, uko tayari kuanza safari yako ya kupunguza uzito na kujenga mtindo bora wa maisha? Ukiungana nasi, utapata nafasi ya: 💚 Kujifunza kuhusu tabia bora za maisha na wellness. 🥗 Kupata mwongozo wa kufuata malengo yako ya afya. 🤝 Kuwa sehemu ya challenge inayokupa nafasi ya kujifunza na kushirikiana na wengine. 💪 Kufuatilia maendeleo yako kulingana na malengo yako binafsi. Pata C9 ili kushiriki challenge 👇 COMMENT “NATAKA C9” au tutumie DM upate maelezo kuhusu programu na jinsi ya kujiunga. 📩🔥 #C9 #WeightLossChallenge #TikTokShopMyWellnessJourney #healthylifestyle