Mmarekani ni yuleyule!! Huyu Obama alimuua Gadafi kikatili mbaya zaidi wakapiga mabomu ule.mradi mkubwa wa umwagiliaji wakauharibu kabisa . Leo libya ni mateso matupu .
2026-10-25 11:42:54
8
kaizilege Mahmood :
Barack Obama huna maana ulituulia ndg yetu Gaddafi bure kabisa
2026-10-25 12:18:51
3
voisaclassic92 :
siasa bana duh
2026-10-25 22:23:48
1
fathuma :
asante kwa tarifa nzuri🥰
2026-10-26 04:44:19
1
Samuel ngungu Johnson :
Arudi tena tunampenda
2026-10-25 19:52:35
0
Jay :
madikteta wengi wapo africa kwa sasa
2026-10-26 05:21:47
0
user9596577752910 :
mbona yeye alimuhuwa gadafii
2026-10-26 05:53:15
0
mathayomichael8 :
hutoba bora zaidi
2026-10-25 18:45:10
0
charles :
😏😳🥰😁
2026-10-25 21:28:37
0
Shamy :
angefanya hivi mtanzania tayar kashatekwa kitambo sana angeambiwa mhain