@edutalktz: SIO TATIZO LA MAADILI. NI TATIZO LA SERIKALI KUPUUZA ELIMU. Tuna tabia ya kutafuta kondoo wa kafara kila linapokuja suala la โ€œmaadili ya wanafunzi.โ€ Tunalaumu wazazi, watoto wenyewe, walimu, jamii, mitandao, etc. Ajabu ni kwamba mhusika Mkuu wa yote haya, ambaye ni SERIKALI, huwa hatumgusi kabisa. In fact, serikali ndio huwa mstari wa mbele kushift blame. Uhalisia upo hivi: Serikali imegeuza shule kuwa vituo vya kutunzia vijana ili wasizurure mtaani badala ya sehemu ya kutoa elimu, matokeo yake ndio kama haya. Shule hazina vitabu, hazina walimu, hazina vifaa vya michezo, hakuna karakana, hakuna maabara za kompyuta, hakuna maktaba, Hakuna chochote cha maana kinachoweza kuwakeep hawa vijana busy dhidi ya matendo au tabia hatarishi. Matokeo yake watoto wanalazimika kuziba ombwe kwa kufanya mengine, ikiwemo haya. Sasa hapa kosa lao au serikali?? Kwenye nchi za wenzetu watoto wanakuwa busy muda wote. Mchana wapo busy darasani; jioni wapo busy kwenye clubs na michezo. Kipindi cha kiangazi wapo busy na michezo ya outdoor kama vile riadha, football, tennis, volleyball etc. Winter wapo busy na indoor track, wrestling, swimming, basketball etc. Wana ligi za hii michezo kila kukicha. Kila siku wapo busy na training; busy na maandalizi ya game. Karibu kila Jumamosi wana game au meets; wanapambana kujiandaa. Na bado unakuta yupo kwenye club ya mziki inayomtaka a-practice instrument, labda gitaa, violin, viola, kinanda, kinubi, etc., kwa lisaa limoja kila siku akijiandaa na concert. Mtoto amekuwa kept busy kiasi kwamba anarudi nyumbani yupo hoi, hata muda wa kuhangaika na singeli hawana. Sisi tumewanyima watoto wa watanzania mambo yote haya ya msingi kabisa katika makuzi yao. Yani hata vitabu pekee tumeshindwa kuwawekea. Kwa mfano, ukichanganya vitabu vyote vilivyopo kwenye shule za msingi Tanzania, kwa takwimu za 2026, jumla yake ni ndogo kuliko idadi ya wanafunzi. Tuna vitabu 10,336,275 (masomo yote) wakati tuna wanafunzi 11,026,096. Yani tulipaswa kuwa na zaidi ya copy milioni 100, lakini tuna copy milioni 10 tu. Somo kama Stadi za Kazi lina vitabu laki tatu pekee vinavyohudumia wanafunzi milioni 11. Somo pekee lenye vitabu vingi ni somo la lugha ya kiingereza lenye jumla ya vitabu milioni 2. Yani kitabu kimoja kwa wanafunzi zaidi ya watano. Hali ya walimu ndio mbaya kupindukia. Mkoa mzima wa Geita wenye wanafunzi 700,000+ una walimu elfu 8 tu. Kwa tafsiri nyepesi, kila mwalimu mmoja wa somo pale Geita anafundisha wanafunzi zaidi ya 700. Pale Kaliua, Tabora kuna shule inaitwa Zugimlole. Ina wanafunzi 1,600 wanaohudumiwa na walimu 13 pekee. How on earth? Sasa tunapotelekeza mamilioni ya watoto wa Tanzania katika mazingira kama haya, tena wakiwa kwenye critical age ya adolescence, tunategemea nini?๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” Tunachokiona kwenye hii video ni matokeo ya systemic neglect; ni matokeo ya serikali kushindwa kutimiza wajibu wake. Nimesoma mahala kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, @Dr_DGwajima , anawatafuta walimu na wazazi wa hawa watoto. Daktari, hali itaendelea kuwa mbaya mpaka siku tutakapokubali kujiambia ukweli badala ya kupoteza muda kulaumu wahanga. Haya ni matokeo ya mfumo kupuuza wajibu wake. Onesmo Mushi

Onesmo Mushi
Onesmo Mushi
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 25 October 2026 11:36:03 GMT
21989
269
17
49

Music

Download

Comments

ndupeoffical
Ndupe offical :
Hii ndio Elnino yenyewe
2026-10-26 14:02:12
7
lucifuufans
lucifans 2๐Ÿคต๐Ÿผโ™ป๏ธ :
kinacho niuma ni shungi 2 daa! ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-10-26 19:11:00
3
user9427805217708
lisu boy tz :
dunia imefka mwisho daah!!
2026-10-27 17:34:27
0
eliza.maduhu4
Eliza Maduhu :
walewale m tapewa mimba wadogo zagu pole sanaa
2026-10-27 11:50:44
0
tiff365
R๐Ÿ’๐Ÿ’˜๐Ÿ” :
jamn shule gani hiii
2026-10-26 13:51:48
0
labi.mponda
Labi Mponda :
namba 47 pole
2026-10-26 15:20:45
0
buhle1717
buhle๐Ÿ’œ๐Ÿฆ‹ :
Agaaaaaaa hizo hizo ๐Ÿ˜‚
2026-10-26 15:32:07
0
naila.kahema
NAILA KAHEMA :
afadhali tumepata no. sasa tusubiri matokeo
2026-10-26 10:35:56
0
ziadasuleymani
Ziada Suleymani :
yaa alha tunusuru nakizazi chetu
2026-10-26 18:12:07
0
eastonefanpage
EastOne fan page :
Oya oyaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚a
2026-10-26 14:46:27
0
niycembise
Niyce mbise :
walewale
2026-10-26 17:37:22
0
eastonefanpage
EastOne fan page :
Aghaaa
2026-10-26 14:46:10
0
niycembise
Niyce mbise :
shungi za bure maadili akuna
2026-10-26 17:38:38
0
user749276594580
Chrizzy45 :
xaw tuone zero hzo ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿ˜…
2026-10-26 11:32:01
0
gentamicin34
ๆ…ถๅคง้œ‰็ด  :
tumekalili namba zao tunasubiri matokeo yatoke sasa
2026-10-25 14:36:04
0
kakamuuzachupi1
MR COLLECT ๐Ÿ‘‘ :
watu msicho kielewa haya mambo yalikuwepo toka enzi na enzi watu wanaliza Pepa wanavua mpaka nguo mashuleni wanachana Kila kitu wanatukana walima sema utofauti ni kwa Sasa simu janja zipo kibao Kila kitu ni kwenye social media hivyo ilo ni swala la kawaida watu wakutanapo wa umri sawa lazima wawe wehu tafuta moja moja uone kama atafanya ujinga wa ivyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-10-26 17:41:17
0
To see more videos from user @edutalktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

๐˜๐จ๐ฎ๐ซ ๐๐ž๐ฑ๐ญ ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ข๐จ๐ซ ๐”๐ฉ๐ ๐ซ๐š๐๐ž ๐’๐ญ๐š๐ซ๐ญ๐ฌ ๐ฐ๐ข๐ญ๐ก ๐š ๐’๐ญ๐š๐ญ๐ž๐ฆ๐ž๐ง๐ญ. Opening a restaurant? Redesigning a hotel lobby? Upgrading your corporate office or factory reception? ๐‚๐จ๐ฆ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ฌ๐ข๐จ๐ง ๐š ๐ฆ๐ž๐ญ๐š๐ฅ ๐ฌ๐œ๐ฎ๐ฅ๐ฉ๐ญ๐ฎ๐ซ๐ž ๐ญ๐ก๐š๐ญ ๐ ๐ข๐ฏ๐ž๐ฌ ๐ฉ๐ž๐จ๐ฉ๐ฅ๐ž ๐š ๐ซ๐ž๐š๐ฌ๐จ๐ง ๐ญ๐จ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ฉ, ๐ฅ๐จ๐จ๐ค, ๐š๐ง๐ ๐ซ๐ž๐ฆ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ซ ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ ๐ฌ๐ฉ๐š๐œ๐ž. ๐€๐ญ ๐„๐ก๐ญ๐ข๐ฌ๐ก๐š๐ฆ ๐Œ๐ž๐ญ๐š๐ฅ ๐’๐œ๐ฎ๐ฅ๐ฉ๐ญ๐ฎ๐ซ๐ž๐ฌ, we transform reclaimed metal into handcrafted centrepieces shaped around your concept, scale, and brand identity. โœฆ ๐‘๐ž๐ฌ๐ญ๐š๐ฎ๐ซ๐š๐ง๐ญ๐ฌ & ๐‚๐š๐Ÿรฉ๐ฌ: Create a focal point guests want to photograph. โœฆ ๐‡๐จ๐ญ๐ž๐ฅ๐ฌ & ๐‡๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐š๐ฅ๐ข๐ญ๐ฒ: Welcome guests with a distinctive lobby centrepiece. โœฆ ๐‚๐จ๐ซ๐ฉ๐จ๐ซ๐š๐ญ๐ž ๐Ž๐Ÿ๐Ÿ๐ข๐œ๐ž๐ฌ & ๐…๐š๐œ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐ž๐ฌ: Bring your businessโ€™s story into your surroundings. Have a space in mind? Letโ€™s create the piece that belongs there. ๐˜๐จ๐ฎ๐ซ ๐’๐ฉ๐š๐œ๐ž. ๐˜๐จ๐ฎ๐ซ ๐’๐ข๐ ๐ง๐š๐ญ๐ฎ๐ซ๐ž. ๐‚๐จ๐ฆ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ฌ๐ข๐จ๐ง ๐˜๐จ๐ฎ๐ซ๐ฌ ๐“๐จ๐๐š๐ฒ. ๐Ÿ“ž 0330 1955578 ๐Ÿ“ Main GT Road, Opposite DHA Phase 2, Gate 3, Islamabad, Pakistan #ehtishammetalsculptures #MetalArt #sculpturedesign #interiordesigner #corporateinteriorstylist #hospitalitydesign #CustomSculpture #SculptureCommission #CommercialInteriors #CorporateInteriors #restaurantdesign #hotelinteriors #StatementArt #recycledmetalart

About