@hmahalu:

MamaTJ
MamaTJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 12:02:16 GMT
21074
972
117
71

Music

Download

Comments

dante6034
dante :
the debate is good, but look at what we have been made to discuss, nonesense.we should be discussing industries in Africa
2026-10-25 20:59:12
0
herbalistjudy01
Herbalist Judy🌿🧿 :
Huu mwaka mpaka Waafrica wote tuamke😂😂😂
2026-10-25 15:01:10
40
healton97
Wakanda. :
[Tears of joy][Tears of joy]hakuna hapo bwana
2026-10-25 18:59:26
0
betty.jimmy
Betty Jimmy :
Kuna watu mpaka leo wanatoa hela zinaenda Rome🤣🥹
2026-10-25 17:25:28
21
franciskaranja8160
francis karanja :
ndini ni system of controling mind of people en bcme slaves
2026-10-25 22:53:57
0
nasry62888872
N@sry!! :
Kwan iran ni nchi ya dini gani na kwann wanauwa watu je mungu ndie kasema ivo au
2026-10-25 15:55:45
11
7alaalaalahnamalume
(07)cod£[(hakika na mungu tu. :
mimi ni mfupa wa africar daima. mungu bariki afrika na sio dini..
2026-10-25 13:00:29
10
lupenzamoses
Lupe Lodman :
Nakubaliana na Hao wanaoikataa Dini
2026-10-25 14:34:59
8
dicksonycharles
Dc Wa Kitaa :
kwani kabla ya iyo biblia wazee we2 hawakujua kutamani cha m2 ni kosa
2026-10-25 16:36:20
2
user900438120912
user900438120912 :
Dini haijawahi kuleta chochote Africa,ila walichukuw utamaduni wetu huhuo na kutuuuzia sisi kwa njia kusanifisha itakayotumika ,kwa kukusanya vitabu vyenye tamaduni zetu, jamani Nina mengi sana ndo maana ukristo ulioko Ethiopia ñi tofauti
2026-10-25 14:50:07
7
fundimadishidar
fundi madishi dar :
Na tulishinda vita ya maji maji kwa tamaduni zetu 🤟
2026-10-26 04:05:01
1
lovenessmunishi
Love ❤️🥱❤️‍🔥 :
Huu mwaka mpka waafrika turudie uafrika wetu 🥰
2026-10-25 18:54:48
2
kelvinkhan255
Kelvin Khan :
hapo wanashindana wafia dini na wana historia wewe unadhani nani atashinda??
2026-10-25 18:40:33
2
awake7695
Awake :
yan huyo sheikh bana.. eti dini imetuletea utaratibu wa kuish vizuri!anashindwa kujua kwanza historia ya hizo dini zenyewe zilikuja ziliwakuta watu wanaishi na wanaishi vizuri tu.ina Mana waliishije hapo mwanzo. sass mtu anapambania dini utafikir alizaliwa nayo wakat imeletwa tu kipindi tayar binadam alikua anaishi..
2026-10-25 13:02:51
3
tween.28
Tweny.f :
inaitwaje Nikasikilize yote
2026-10-25 15:57:23
0
mamta.bakar
Mama huu bakari :
niko kwa waislami
2026-10-25 16:59:33
0
mlimwengu2
domi Mdunia :
dini ni utumwa
2026-10-25 17:04:40
2
frankmkupala
frankmkupala :
kiukweli nawaelewa sana kionda na mwenzake🥰
2026-10-25 16:33:44
1
hamy17_22
Ba Jessie.. :
pesa pesa pesa peeesa.. mi nachagua pesa
2026-10-25 18:31:32
1
jinnaly.uhulu
Mr.J.🥰🌹 :
mchungaji anatetea ugali 😁😁😁
2026-10-25 20:02:10
1
user1424955921581
faiza :
hizi code unazitoa wapi mama 🥰🥰😂 ni za moto
2026-10-25 13:25:12
1
cirilkimat
cirilkimat :
Sister huu mjadala nna tamani ninge upata wote tafadhali
2026-10-25 14:03:19
1
mgazathe3rd
Ally MGAZA :
hii ilikua ni BONGE la DEBATE,,,UBUNTU BANTU🫵🏾🫡🫡🫡
2026-10-25 21:31:16
1
elizabethchao102
jamila james :
kweli dini imeleta slave sana
2026-10-25 14:56:31
2
avitusjovin
avitus jovin :
iv na na wakat yusufu anauzwa walio muuza si ha hao walio waliumbwa na mungu na mungu si anajua leo yako mpaka kesho yako kwann ka alijia yusufu atauzwa kwannll asizuiye ilia jambo kabla si anajua yajayo bwana
2026-10-25 13:40:29
0
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About