@tumaini_pr_tv: Bunge la Ulaya limetangaza Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na maafisa wake kuwa washindi wa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, huku kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, akiwa miongoni mwa qwaliowania tuzo hiyo ya kimataifa ya haki za binadamu. Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola, alitangaza mshindi huyo Oktoba 22, 2026, mjini Strasbourg, Ufaransa. Tuzo hiyo hutolewa kwa kutambua juhudi za kulinda sheria za kimataifa, kundeleza haki na kuimarisha uwajibikaji kwa uhalifu mkubwa wa kimataifa. Uamuzi huo umefanyika wakati ICC ikikabiliwa na shinikizo kubwa la kisiasa na kidiplomasia, ikiwemo vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya baadhi ya maafisa wa mahakama hiyo kutokana na kazi zao zinazohusiana na kesi zinazowahusisha watu wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa. Tundu Lissu, mwanasiasa mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, alikuwa miongoni mwa waliofika hatua ya mwisho ya kuwania tuzo hiyo kutokana na juhudi zake za muda mrefu za kuhimiza demokrasia na kudai uchaguzi huru na wa haki nchini Tanzania. 🇹🇿 #tumainiprtv #tboyliontz #hapaninyumbanikwawote
Tumaini pr Tv
Region: CA
Sunday 25 October 2026 12:23:54 GMT
Music
Download
Comments
Arish .KJ :
tarehe ngap?
2026-10-25 13:44:34
6
John Mjema :
lini ana achiwa tumuone
2026-10-25 17:59:23
0
njaa kali sana :
asante apo samia ana suka maneno
2026-10-25 12:48:19
3
Francis Nshinshi :
uwiiiii
2026-10-25 15:01:27
1
My Life Still My Life :
Mlisha jua mazuzu ni mengi nchini Tanzania na yanaendeshwa kimhemko hivyonazidi kuyapotezea muda bila yenyewe kujua na ifikapo 2035 yakuwa ombaomba na mategemezi kwa kupoteza muda mwingi kwenye siasa za hovyo bila kujua. Tanzania is sovereignty state
2026-10-25 18:32:28
0
lovelly HKL rweyemamu :
kashinda
2026-10-25 14:07:07
1
fundi Raphael bukuku :
Niko na Dikshonorery apa mpka nielewe tu
2026-10-25 12:56:52
3
Www.Daudi msangi.390 .Arusha . :
yaan akienda iseee hali yahewa ita change chap na elnino itaanzia hapo
2026-10-25 15:11:51
3
Essa Emmanuel :
usichukulie kawaid mambo yanayo endelea nachok mjukuu wa mwandambo
2026-10-25 18:30:50
0
Ali sykes :
Kwani Bunge la ulaya ni babaake au mamaake nani??
2026-10-25 18:19:28
0
Mc uncle mtu :
watanzania hawawezi elewa🤷🤷
2026-10-25 18:02:14
0
micajunia :
1 in a million you will left to be the harry in tz
2026-10-25 14:27:34
0
ELISHA 🇹🇿. 🇲🇿 ❣️❣️ :
🥰🥰🥰
2026-10-25 13:53:16
0
the Gardner :
🙏🙏🙏
2026-10-25 20:05:06
0
To see more videos from user @tumaini_pr_tv, please go to the Tikwm
homepage.