tusimwage damu za watanzania jamani tena tutapigwa na radi na laana hii nini jamani naimani samia hafanyi haya mambo
2026-10-25 17:28:02
1
max huddles :
ametekwa au amekamatwa?
2026-10-25 17:27:47
1
idrissamohamed16 :
Uzushi2
2026-10-25 16:12:30
4
EKEMWA ONLINE LIVE 🦁🌍 :
Siyo kweli
2026-10-25 16:00:23
3
marxdollars💰 :
Free Twaha now!!!
2026-10-25 19:04:32
0
Shamshir :
jamani wale wote wanaisemea ubaya selikali bila uakika MUNGU anawaona
2026-10-25 15:28:14
3
biggeooos :
dah hii issue inaumiza sana Kila siku drama kweli ki bongo bongo siasa za democrasia sioni zaidi ya ubabecrasia hakuna utu kabisa
2026-10-25 18:20:19
1
mwile :
duuh eee mungu msaidie huyu kijana wasije wakamfanya chchte kibaya
2026-10-25 14:35:46
3
Stranger :
Wanatafuta njia za kuyapa nguvu maandamano yao na uhalifu wao. Ametekwa Tanzania ? kama ni nje ya Tanzania muulizeni Rais wa nchi hio
2026-10-25 17:06:31
2
totoo :
iv n kweeli??
2026-10-25 19:00:33
0
user35780877815680 :
mh jaman jaman jaman
2026-10-25 19:16:46
0
kareembm :
😄😄😄😄😄😄 Ni sawa!! Lakini bado mpo wengi mnajifanya wajuaji
2026-10-25 18:54:48
0
alice :
kweli😳😳😳😳
2026-10-25 14:36:31
0
Rachel Antony :
unaumiza sana tena sana
2026-10-25 16:45:12
0
kijiweni :
hatuchangi mnaanza
2026-10-25 17:29:46
0
Yunus :
na Atekwe tu hanisaidii chochote katika maisha yangu
2026-10-25 20:56:26
0
mwile :
Samia kalaaniwa sana anajuwa nakuteka nakupoteza watu hakika mungu yupo atalipia haya yte
2026-10-25 14:36:20
1
Rascalz :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]huyu ajatekwa ila kakamatwa sababu ajalipa kodi karibia dola 16000 sasa faza house kamchoma huko kenya ili arud tz
2026-10-25 16:10:43
0
Daudi Phillip Lusana :
atajijua mwenyewe sisi huku kesho tunaanza mugomo wa kula
2026-10-25 16:49:45
0
pilimmbaga :
mtuondoleee uongo wenu
2026-10-25 13:46:33
2
To see more videos from user @tkkwanza5, please go to the Tikwm
homepage.