@jonskingpro: Kauli hizi usizipuuze ikiwa unaambiwa kila mara #RelationshipAdvice #SwahiliContent #UshauriWaMahusiano #Mapenzi #mahusiano

Jonsking
Jonsking
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 13:40:29 GMT
353605
23482
482
1129

Music

Download

Comments

nuraty.mihigo
Nuraty Mihigo :
Mi ananiambia anataka kuoa😂😂
2026-11-17 23:32:22
2
user78490342027053
user78490342027053 :
vyote nimeambiwa na mume wangu na Nina mchukia nasiwezi kumwonyesha namchukia na pretend TU kwaajili ya watoto wangu ila kisiri kaniamharibu kissikilojia nimekuwa Malaya wa Siri watu wsnaniheshimu na hawajui kama nachepuka lakini hii nikukosa amani ya moyo umri unaenda na maumivu natembea na wanaume zaidi ya kumi na bado naona sielewi na hakuna mtu Anajua
2026-10-26 04:36:32
38
dianna.nsenga
Dream land ✨ :
mm nisha muacha but yy hajui koz siwez vumilia dharau
2026-11-19 08:33:09
1
mars_george_
Hermes 🍀 :
Ananiambia atanioa ila hanipi pesa
2026-11-19 02:03:23
1
aminamsanganzila
amina :
mimi huwa hanishikishi kwa chochote nikimuliza anasema hata akiniambia siwezi kumsaidia chochote
2026-11-19 18:11:55
1
abdulmaulid68
abdulmaulid68 :
mm ananiambia kwamb nijicheng amenichk na anasem kwamb namchisha na maswal
2026-11-18 23:21:01
1
deejaytizzy255
𝑻𝒊𝒛𝒛𝒚 𝒐𝒓𝒈𝒚®🔹 :
ndio HALI NAPITIA Mimi 😭
2026-10-26 04:39:03
49
jalifalutumo6
Jalifa Lutumo :
ukweli sijawahi kuambiwa hivyo
2026-11-18 10:14:53
0
asnati.salehe
Asnati Salehe :
yote kashaniambia kwahio nifanyeje
2026-10-25 17:53:53
10
lilyashiel
Lily Ashiel :
Anaye angalia status Kila saa na mmeachana msaada jmn
2026-10-26 09:55:57
7
its_alex9629
Th_Rich_Doc :
mimi nimetoka kuambiwa yote hayo last week na akasepa . baada ya kusepa ndo nikapata na ushahidi kuwa alikuwa amemove bila kuniambia🥺😮‍💨
2026-10-26 08:57:35
5
user2486561017676
user2486561017676 :
wangu aliniambia yote kumi
2026-10-25 16:18:45
12
esthy.bae88
💞 esther 💞wa💞 Sammy :
wangu Kwa maswali hapo apendi kabisa atakama ni yy amekosea hapendi kabisa
2026-10-26 12:08:30
7
cute.smile1764
cute smile :
kila kitu kashaniambia ad kuniambia bora wazungu kuliko ss
2026-10-30 21:10:35
5
steve.mwangi43
Steve Mwangi :
me naambiwa ivo yaan da yaan ukimwambia kitu utasikia tu itakavokuw.. dah
2026-11-05 10:06:45
1
hajrah9402
Naima eyes :
atajua mwenyewe😏
2026-10-27 20:25:10
5
user6206707392846
lisa :
asant
2026-11-12 12:06:32
1
madammufahiyaog
madam mufahiya og💋 :
nimeachwa basi😭😭😭
2026-11-14 05:40:40
4
rosemary77665
rosemary77665 :
hizo zote nimeisha ambiwa kabisa
2026-11-19 06:06:05
1
mohamedsamambo798
ELIZABETH ACHILEUS :
daa inanikuta mm jmn inaniuma sana😭😭😭😭😤😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-13 06:33:15
1
mkewamfalme0
Mkewamfalme1 :
anasemaga zote hehehe ila mimi nilimuacha kabla yake 😂😂😂juu nilimpunguza hadi kublock familia yake,napenda hela zangu sitaki ujinga wake
2026-11-10 10:41:29
2
user29256084928651
[email protected] :
Mimi yote nimeambiwa na mpenzi wang, yani moyo wangu umepoteza amani kabisa
2026-11-15 17:51:06
2
mrmushi73
𝕞𝕣 ᵐᵘˢʰⁱ$$# :
iyo yakutafta mwengine ndo unanifanya nzdi kufocus na uchumi tu broo big up..
2026-10-31 08:44:48
2
To see more videos from user @jonskingpro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About