@danielhamis2:

PASTOR DANIEL HAMIS
PASTOR DANIEL HAMIS
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 14:19:57 GMT
6951
116
94
33

Music

Download

Comments

stephenmuta0
pppp :
when I get the water
2026-10-26 06:39:44
0
esterlove135
Katoto ka Yesu :
mtauwa watu wenu jaman pesa yote hiyo🥲
2026-10-25 20:50:29
4
penyemiti
Embimbitchye :
maji,maji,maji,maji,maji maji ni uhai jamani kunyweni maji jamani
2026-10-26 05:57:11
1
jabalkiss
jabalkiss :
Na bendera ya tanzania imekua haina sheria kila mtu anafungua kanisa anweka bendera ya tz anaibia watu kwani viongozi mko wap
2026-10-26 06:10:42
2
samwelaniceth
samwel aniceth :
dini zimekua na ugaigai sana
2026-10-26 09:29:14
0
abdulally02
Abdul ally0 :
ukitaka kufanikiwa kimaisha hapa duniani fungua kanisa imekuwa biashara nzuri sana
2026-10-26 05:50:55
3
lunar_motion.7
H.O.J.O J̌ṛ 😁 :
hela ngumu wakuu😅🙌🙌
2026-10-25 16:19:43
4
moddyahmada35
BIOLOGICAL WEAPON😡 :
WACHA NIANZISHEE BIASHARA YA KANISAA NITAPIGAA HELAA SANA,
2026-10-26 06:15:09
1
kalinjumaelias
Kalinjuma Elias :
WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA
2026-10-26 03:39:07
3
francissmagwe
MR. FIRST'BORN :
Ila ujue hata mm na wewe tukianzisha kanisa tutapata wateja ujue wajinga ni wengii .kwenye huu ulimwengu . mtaji tunatafuta vijana ambao hawana kazi wanakuwa waigizaji wa kutoa ushuhuda kuwa walikuwa vilema wamepona hatujapata hela mpaka hapo
2026-10-26 07:40:05
0
magreth6847
magreth :
hahahaha nasikia hasira mimi 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-25 23:11:28
2
tuntufyee
Tuntufye :
tapelii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 21:02:22
0
thegold946
The Gold :
acha nianze biashr ya uchungaj
2026-10-26 04:12:33
0
erickpetro447
Erick Petro :
aaaaaah bongo
2026-10-26 09:24:14
0
bantolomeo.joseph
Bantolomeo Joseph Silayo :
Gudubayyyyy
2026-10-26 09:18:05
0
rushrusher001
꧁☆Rush☆꧂ :
Kile kiwanja changu najenga Kanisa[Big LOL]
2026-10-26 08:40:13
0
khambal4
Khambal :
watu watahisi unanukia ila kiuhalisia haunikii bhas hadi hapo watashindwa kuelewa 😂😂😂
2026-10-26 08:30:28
0
ashuryvhurt
warda :
kumbe watahis ila sio kweli😂
2026-10-26 08:31:52
0
aliabdalla1275
Ali dula :
hivi mtaji wa kanisa ni bei gan wakuu tupige hela na cc
2026-10-26 07:45:23
0
moudykisengo
moudykisengo :
mwingne huyu uku jamn
2026-10-26 07:48:39
0
eroshala
eroshala :
w2 watahisi unanukia [Tears of joy]
2026-10-26 08:30:23
0
masai_licky
K O S H I N :
2026-10-26 09:22:47
0
eramkizzowizzy
Eramkizzo Wizzy :
mwache kutusoma bana😂
2026-10-26 07:55:45
0
rj_wedding_
Rj design :
Kuna mchungaji alisema kama huna shida ya kutangaza neno la Mungu unataka kupiga pesa basi fungua kanisa
2026-10-26 08:02:35
0
scholasticvicent
Scholastic Vicent :
hiyumwingine
2026-10-25 17:46:29
0
To see more videos from user @danielhamis2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About