@uhondo.tv: Mwanamitandao na mwalimu, Clemence Mwandambo, ametoa madai dhidi ya Kanisa Katoliki akihusisha maadhimisho ya misa ya kuwaombea waliofariki Oktoba 29, 2025, na kile alichodai kuwa ni uchochezi. Katika maelezo yake, Mwandambo amelinganisha uamuzi wa Kanisa Katoliki kuandaa misa hiyo na matukio ya vifo vya watu Zanzibar katika kipindi cha utawala wa Rais wa zamani Benjamin Mkapa. Amesema hakusikia kanisa hilo likiandaa misa ya kuwakumbuka Waislamu aliowataja kuwa walifariki katika matukio hayo. Mwandambo amedai kuwa msimamo huo una tofauti na hatua ya sasa ya kanisa kuandaa misa ya kuwaombea waliofariki katika matukio ya Oktoba 29, 2025, wakati Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan. Mwandambo amelitaja Kanisa Katoliki kuwa “wachochezi wakubwa,” akitoa madai hayo kama sehemu ya ukosoaji wake kuhusu msimamo wa kanisa hilo. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 14:26:26 GMT
Music
Download
Comments
❤️BAB LEE 😘♻️ :
wambiieeeeeeeeee hawajasikiaaaa
2026-10-25 18:09:48
0
JR🇹🇿 :
hua sikukubal ila apa umeongea ukwel broo
2026-10-25 17:31:16
3
CHRISPIN CHAMBIKA :
acha kuingilia mamb ya iman ndugu yangu
2026-10-25 16:19:00
3
sklwalk :
sheria ya kanisa katoliki ni kuwaombea marehemu wote pumziko la amani ndo maana unakuta kila jumapili siku ya ibada ya misa takatifu kunakuwa na nia ya misa
2026-10-25 17:52:53
1
The Man :
Kipindi hicho mitandao ya kijamii ilkuwepo na taarfa kusambaa? Kama walizika ni utaratibu wa kila siku kuwa na misa ya kuombea marehemu na ni utamaduni wao
2026-10-25 18:15:07
0
maigerajabu130 :
Mzee umetumwa
2026-10-25 16:37:09
0
Abdulrahman Ayubu :
Sahihi
2026-10-25 17:46:33
2
Robson :
ni kweli lakini Kuna muda nashindwa kukuelewa
2026-10-25 15:02:08
2
William Benjamin :
mm simuelew huyu bwan
2026-10-25 15:34:37
1
user3013761210232 :
Kweli Baba
2026-10-25 14:36:10
1
Juma Ajali :
kwa hili naomba kishki akusamehe
2026-10-25 18:31:57
0
Mwanaidi Khamis :
Asante baba ubarikiweeee
2026-10-25 17:44:59
0
Juma Ally :
sahihi kabisa mzeee kweli kabisa
2026-10-25 18:23:36
0
user9977832869938 :
mungu anakuona
2026-10-25 17:48:04
0
WARAGA :
wew
2026-10-25 17:44:54
0
said hassan :
weeeeeee
2026-10-25 14:35:47
0
The Man :
Kupinga taratibu za imani ni ishu ngumu sana na kuharibu mahusiano kabisa,vizuri kuwa makini na mambo ya Imani;hayo mambo ya kuadhimisha ibaada hiyo ni itikadi yao na kila siku hufanya hilo
2026-10-25 18:21:06
0
Semi Luhende :
kwamaoni yangu hapo kunajambo☝️
2026-10-25 17:27:59
0
user8877324443529 :
Wao na sisi tofauti
2026-10-25 17:10:24
0
rayaally82 :
mmmh!
2026-10-25 17:45:56
0
shibuy :
Kwa hili Mwandambo yuko sahihi sanaaaaaaaaaaaaaa
2026-10-25 18:40:35
0
Marcos marcos :
kweli.kabisa
2026-10-25 17:42:52
0
beyar kimoko :
ila jaman ila mwandambo 😁
2026-10-25 17:44:23
0
@juwasili12 :
Kwani shida iko wapi
2026-10-25 14:48:27
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.