Kutoka kwa Abdullah bin Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake), Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
"Tajaneni wema wa wafu wenu, na jizuieni kutaja mabaya yao."
(Hadithi hii imepokelewa na Abu Dawud na At-Tirmidhi)
Fundisho: Uislamu unasisitiza kusitiri makosa ya mtu baada ya kufa kwake na kukumbuka yale mazuri tu aliyoyafanya ili kuwaombea dua ya rehema.
2026-10-25 15:43:43
127
shabz :
we are all sinners but the best sinner repents
2026-10-26 04:53:07
0
Saudiyah :
Allah first always
2026-10-26 09:15:14
0
Imaan_ :
Ogopa sana mtu kutumika kama mfano🚶🏾♂️
2026-10-25 21:25:01
136
Asu :
wallahi tena very true 👍
2026-10-26 06:09:30
0
florah isdor :
leo ndy memuona semaji akiwa serious mpk nimeogopa mwenzenu
2026-10-25 18:59:04
61
mama ayman :
yarabi tujaalie mwisho mwema sisi waislam😭😭😭
2026-10-25 17:08:50
68
شفاعة :
wallah hichi kifo kimenifany nifute post zote wallah mungu atusameh jmn tumrudie mola wetu walalh🥺
2026-10-25 18:32:38
31
MTURUKI OG🫅🫅 :
Allah ajalie mwishoo mwema kwetu
2026-10-25 15:30:42
20
son :
kuna watu wabaya kuliko uyo na kama tunalekebishan tuambiane kila mmja akiwa hai yan
2026-10-25 20:20:58
12
Nuru Seifu :
mola nijaalie mwisho mwem
2026-10-26 04:56:34
5
Miss myyy official 😍😍😍 :
ASSALM ALKM JAMN WAISLAM WOTE TUMSAMEHE MWENZETU NA TUFUTE VIDEO ZAKE MBELE YEE NYUMA SIE
2026-10-26 07:11:45
10
mjape45 :
MANENO MACHACHE LAKINI MAZITO NA YENYE MAANA
2026-10-25 18:40:01
11
its_.dramaqueen :
mm ndio maana sijipost na nimeset account yangu baada ya kifo ipotee mazima
2026-10-26 04:57:20
2
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ :
Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un.
Hakika, sisi ni wa Allah na kwake Yeye tutarejea.
Sisi wanadamu tunajisahau sana. Kifo kiwe ukumbusho na mawaidha kwetu sote kwamba maisha ya duniani ni ya kupita, na kila nafsi itaonja mauti.
Ewe mja wa Allah, mrejee Mola wako kwa toba ya dhati na matendo mema, ungali na nafasi ya kuishi hapa duniani. Tusighafilike, kwani hakuna ajuaye saa wala siku ya kuondoka kwake.
Ewe Allah, tusamehe makosa yetu, utuongoze katika njia iliyonyooka, na utujaalie sote mwisho mwema. Aamiin.
2026-10-26 06:55:44
4
WASWEELAT :
khusnul khatima yaarab 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2026-10-25 15:07:03
16
MAUNGANI STATIONARY :
mashaallah. hakika ya ukumbusho utawafaa wenye kuamini
2026-10-25 18:42:13
6
nurshauh :
allahuma jaalni bilhusnilkhatima🤲
2026-10-25 15:04:07
6
Hamyda.G.Love❤️ :
Ya Allah Tujalie Mwisho Mwema
2026-10-25 18:41:20
7
anu :
Takbir
2026-10-25 16:44:08
3
Fly girl🧚♀️ :
ALLAH atupe husnul hathma njema[Hands open][Hands open]
2026-10-25 20:16:07
3
user2361072537746 :
Allah Akibar Allah atujalie mwisho mwema
2026-10-25 15:06:00
4
꧁••𝓞FFICIAL 𝓤KHTY꧁•• :
Na hakika alifanya mema piah, Allah amuhifadhi....AMEEN🤲🥹
2026-10-25 17:28:29
3
anu :
Takbir
2026-10-25 16:45:19
2
bundala rajabu :
mashallah
2026-10-25 16:32:09
2
To see more videos from user @_hijabtalks, please go to the Tikwm
homepage.