@kambione_mediatz: Baba Amemsamehe na kumuonea Huruma Mtuhumiwa wa mauaji ya mwanae Na kumkumbatia Mahakamani. #kambioneupdates #kambionemedia

kambione_mediatz
kambione_mediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 15:09:13 GMT
50597
3108
115
89

Music

Download

Comments

aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Kesi km izi wapo wengi wanatamani kufuta kesi mahakamani lkn walio nyuma ndio wanao ongeza chumvi
2026-10-25 17:57:32
39
khamiskhan727
Farhad Salman :
Yataka moyo jamani me kunajamaa kanizulumu laki nanusu hiyo tutapelekana mpk mbinguni asee
2026-10-25 21:05:02
11
chudy.chudy09
chudy chudy :
Kwakitendo cha kukumbatiwa huyo kijana atateseka sana kwenye maysha yke bora engehukumiwa angalipata amani🙏🙏
2026-10-26 07:11:33
3
user7477262508571
kaya :
alhamdulillah proud to be a Muslim ☝️this called "Faith"
2026-10-25 20:23:44
2
zainabudoreen
raya bakari :
mwenyezi akupe afya na kauli sabiti
2026-10-25 19:59:25
9
zalhatamahmud4
zalhata.kayaya :
et nimelia jaman mfano mzur huu jaman leo atusamehan makosa madogo madogo tu
2026-10-26 06:23:21
2
zay.fashion
Zay Fashion :
Kamuachia mwenyez Mungu😢🙌🏻
2026-10-26 08:08:48
1
bambichi.tz.bataz
Bambichi Tz Batazar :
Allah Atakulipa pepo
2026-10-25 18:56:36
19
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
Mchungaji wangu mmoja Miaka flani huko nyuma. alisamehe hv mahakamani akamkumbatia muuaji wa kijana wake aliye mtegemea😢😢😢nilijifunza somo gumu sana, sio rahisi.
2026-10-25 21:51:40
4
twalaha.kadangu
Twalaha Kadangu :
mashallaalah Allah akulinde mzee
2026-10-25 19:21:58
5
sonia.dangote
Sonia dangote :
mim hapo naogopa na kuhepa kbs 🥺
2026-10-25 17:52:26
3
salahosaqware
alawiya :
Mashaallah
2026-10-25 17:26:39
6
jazillah.sefu
JAZ :
hata akimfungaa mtoto hatorud ndohayupo😭😭😭
2026-10-25 22:43:14
2
sahasa888
sahasa@888 :
duniani amemsamehe lkn shughuli ipo hukoo kwenye maisha ya milele
2026-10-26 03:14:03
0
saumjengi3
Qauthary 💋💝 :
Ana imani sana, kuna muda kubali kila kitu na kumshukuru Mungu ili maisha mengine yaendelee...sio jambo rahisi Mungu ndiye anaye hukumu
2026-10-26 05:31:29
1
sisterfey_cosmetics2024
SARU COSMETICS & CLASSIC SHOES :
Mashanllah Mashanllah Mashanllah 🥰
2026-10-25 18:09:24
3
ulamamotorcyclespeaserv1
ULama Motorcycle Spea 🏍 :
Subhana Allah 😭
2026-10-25 23:06:03
1
babaushenz
𝐁𝐀𝐁𝐀 𝐔𝐒𝐇𝐄𝐍𝐙 ⚓🎲🌍 :
2026-10-25 20:47:24
1
moddysanawy
Mohamed Hassan :
This is A very good lesson. Alhamdulillah 🙏.May God bless the father of deceased
2026-10-25 18:01:04
2
yudh.hary
yudh hary :
mashaallah
2026-10-25 19:56:23
1
miss.ney119
Ney Wonder 💫 :
kwenye maisha ukijua shamanic ya kusamehe kosa lolote utajua kuwa Kila mkosaji hakustahili adhabu wala kuhukumiwa mengine ni jinsi ya kujifunza na bahati mbayaaa kabisaa unakuta mtu siku zake zilifikq zikafikia mikononi mwa mtu sasa inabaki kuwa kesi juu ya mtuhumiwa mi nina Imani kuwa msamahaa maishani ni moja ya funguo kubwa sanaaaaq tujifunze kusameheeanaa
2026-10-25 20:24:17
1
hayatim627
🌸 unique gal✨ :
It hurts so much😭😭
2026-10-25 18:17:45
1
bboutiquecollection1
bboutiquecollection1 :
2026-10-26 08:08:21
0
user8978648885098
chwity zuu :
aah yataka moyo jamanii mimi nilinunua tv ya laki 4 aijafika wiki sijui nani kaigonga na sina mtoto nyumbn kwangu naish mwenyew na na wenzang vyumba vingine aisee nilitamka kwa uchungu kama aliegonga hivi kwa makusudi mungu amlaani kama kwa baat mbaya nimemsamew ila kama kakusudia kunitia hasara simsamei namuachia mungu aisew chakula wiki nzima hakipiti
2026-10-26 08:06:05
0
young_daddy_huu__2412
KIJUKUU🕴CHA MAPINDUZI 🇹🇿🌴 :
mshllah 🙏
2026-10-25 16:57:02
0
To see more videos from user @kambione_mediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About