@alhaditvdinimaadili: AMEKUSALITI, HALAFU ANAKUITA MWENYE EIVU! Anakusaliti, anakuficha ukweli, halafu anakuita mwenye wivu? Usichanganye ahadi tamu na mabadiliko ya kweli. Majuto ya kweli huonekana kwenye matendo, sio maneno pekee. Share ujumbe huu na mtu anayehitaji kuusikia. #Mahusiano #Usaliti #MapenziNaMaisha. . #creatorsearchinsights #deepislamicknowledge
Alhaditv-Dini&Maadili
Region: IR
Sunday 25 October 2026 15:24:03 GMT
Music
Download
Comments
Saada yummy cakes :
A narcissist
2026-10-26 05:27:32
4
LILIAN HADIJA :
Kweli kabisa mume wangu hataki kulizwa alikuwa wapi kwan ukiuliza mtu kama ametoka wapi huwa tunakosa ama??
2026-10-26 14:26:14
3
Suuh :
misamaha yakinafiki
2026-10-26 05:53:30
4
mamyy :
Min husniii riaaayatal islam🥰
lil mar at,wa ikhtiramih lahaa
2026-10-29 16:24:41
0
faris salum :
ahsant anko
2026-10-30 10:47:55
0
salha saleh :
yote nayapitiya mie
2026-10-29 04:11:19
0
Kelvin Charles :
napitia hayo yote
2026-10-28 04:17:05
1
maa fridaus :
wangu anasema mm ndo chanzo cha ongovi manae ni kwamba ni sionge nnapo ona ttatizo
2026-10-28 09:35:51
0
user7162900088718 :
kweli baba
2026-10-26 11:48:07
0
_dazou_shop🎂🍹🍨🌭 :
naam
2026-10-26 22:30:02
0
Mamu🍀🧕📿 :
mungu atujaalie waume wema
2026-10-26 09:14:29
2
munnauwar :
Asante sana kama upo ndani mwangu dah
2026-10-27 18:31:35
0
user1952484484430 :
nikweli kabisa
2026-10-26 05:16:25
0
honeybaby%official95 :
namtumia sasa hivi
2026-10-26 10:24:09
1
Maryam255 :
kweli kabxa nmepitia yote hayo mm
2026-10-26 20:01:17
0
yakub :
ma Sha Allah
2026-10-25 18:20:15
0
stella shuma :
kweli kabisa jamani mm niliambiwa ninawivu sana dah
2026-10-26 07:12:01
0
kudrahamadi106 :
kweli.bb
2026-10-25 18:58:48
0
sasha :
kweli kabisaa
2026-10-26 05:14:30
0
Halima Mohamed :
jamani huyo nimm
2026-10-26 04:59:46
0
mimi😏 :
nashkul baba m nimechoka lkn[Sad]
2026-10-26 10:13:09
0
𝐒𝐮𝐥𝐞 𝐒 𝐒𝐮𝐥𝐞 :
Sawa
2026-10-25 19:33:00
0
Binti mrisho og :
🥰😋
2026-10-25 19:02:24
0
. :
🥰
2026-10-26 04:30:34
0
To see more videos from user @alhaditvdinimaadili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.