@no_way_out255: IBRAHIM DOUMBIA #🤲#foryoupage #nowayout255 #tiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

No way out😇🫨
No way out😇🫨
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 15:55:31 GMT
91465
1716
121
181

Music

Download

Comments

kaizachief001
Kaiza Chief :
Simba watafute stricker mwngne
2026-10-25 18:30:42
0
user7882574511444
Omary 27 Maritime⚓ :
ila Doumbia kila nikijaribu kumtetea nachoka sanaa 😂😂😂
2026-10-25 18:09:14
38
.......dee_
~Dee_⚕️ :
😅😅 alafu mbona nibek mzur tu
2026-10-25 19:10:14
2
revocatus.mlinga0
®️Ⓜ️ :
huyo ndo doumbia tunao mjua sisi so Ile AI ya siku Ile
2026-10-25 18:59:26
8
user5987821398536
julius :
kuendelea kuwa na Doumbia hapa nchini ni kosa kubwa kuliko Ugaidi au Uhaini
2026-10-25 18:34:05
9
king03mielly2
👑 OF MELODIES :
huyo ndo doumbia tumjuaye, hyo lini hyooooooo
2026-10-25 19:09:11
2
cosmanvenance
Cosmass venance :
Sema kiukweli kabisa dumbia kiwango chake akina azi ya kuchezea Ligi ya tanzania
2026-10-25 20:54:59
1
merymo4
mery mo 001 :
Leo haikuwa bahat kwakwel
2026-10-25 18:20:35
1
anifa.majala
Anifa Majala :
Huyu ndo yeye sasa😂😂
2026-10-25 18:42:08
2
addylav1
addy :
katika swala la kuwa kwenye position tu doumbia n hatari ni vile tu hajaw na bahati na mpira wetu
2026-10-25 19:03:42
1
kramsmartboe108
🤑💫kr@msmart boe🔥 :
yule wajuz ilikuw doumbia wa ia
2026-10-25 20:37:47
1
kyomaboy01
last born 💦 :
doumbia angekua kocha wa yanga wangekua wamefukuza mdaa😁
2026-10-25 20:29:48
1
mznj4r
Mzn@j4r :
nina mashaka na mpanzu kwenye kiwango cha DUMBIA😂
2026-10-25 19:35:35
1
kanut98
Kannu_98 :
huyu sasa ndo dumbia wetu😂😂😂😂
2026-10-25 19:44:19
0
dulliy654
Abdul-hamid Ali275 :
na mwezi tayari wa kupokea mshahara wake
2026-10-25 19:17:50
1
www.twice.co
Street :
Hakija kwangu nam train siku moja tu club bingwa na NBC league anakuwa top scorers
2026-10-25 19:55:05
1
mahrezriyadhafidh
mahrezriyadhafidh :
Hivi alimsajili dumbia alikuwa ndio mchezaji alokusudia au alibadilishiwa labda maana tulishawahi kuwa mastreka wabovu lakini hakuna alomzidi huyu
2026-10-25 18:49:05
1
gasper1234560
Gasper :
ilq Doumbia
2026-10-25 22:10:02
0
r53181
Dr KAPAMA :
mm nimeqaambia tu siwez nimechoka kumtetea
2026-10-25 21:12:13
0
sonboytalent
Sonboy talent🇳🇬🇳🇬 :
Kwani doumbia ana undugu na au basii nisimtaje tuu🤣😂😂😂
2026-10-25 22:00:14
0
jojojj853
jojo :
mtangazaji huchoki mda wote dumbiaa
2026-10-25 21:30:46
0
bm.eletrical.solution.tz
BM Electrical Solution :
hatuna mtu hapo. ila plzzz asiondoke plzzzz the comedy huyoo. tutamchangia mshahara😂😂
2026-10-25 21:23:49
0
user4366232530061
mari :
wanamlonga jmn asione
2026-10-25 22:00:58
0
pastory.george
pastory George :
hapa tulipigwa
2026-10-25 18:00:51
0
To see more videos from user @no_way_out255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About