@terackstore: 🔥 KWA 99,900 UNAPATA BLENDER INAYOKUPA KAZI 6, SIO KAZI MOJA! 😍💪 🥤 1. BLENDER – Unataka juice ya embe, parachichi, ndizi, tikiti au smoothie tamu? 🥩 2. CHOPPER – Unataka kukatakata nyama ya sambusa, vitunguu, nyanya, karoti au kabichi? Huhitaji kuhangaika na kisu kila wakati! 🌰 3. GRINDER – Unataka kusaga karanga, pilipili kavu, binzari, hiliki au viungo vya pilau? Hiki kifaa kinakufanyia kazi! 🥣 4. MIXER – Unataka kuchanganya mayai, mchanganyiko wa keki au viungo vya maandalizi ya maandazi? Hapa kazi inakuwa nyepesi! 🍊 5. ORANGE JUICER – Unapenda juice fresh ya machungwa? Unakamua machungwa yako mwenyewe ukiwa nyumbani! 🥒 6. SLICER – Unataka kukata tango, karoti, viazi au mboga za salad? Unarahisisha maandalizi ya chakula! 🔥 SASA FIKIRIA KAZI HIZI ZOTE 6 UNAZIPATA KWA TSH 99,900 TU! 💪 Hii sio blender ya kutengeneza juice pekee, ni kifaa cha kukurahisishia shughuli nyingi za jikoni! 💰 BEI: TSH 99,900/= 📞 0740 735 174 / 0627 735 154 📍 TERACK STORE – KARIAKOO Mtaa wa Muhoro na Swahili, jirani na Msikiti wa Makonde, karibu na stendi ya daladala za Tegeta. 🛵 DELIVERY DAR ES SALAAM NA MIKOANI KOTE! ✅ Dar es Salaam unaweza kulipa mzigo ukifika. 🔥 USINUNUE BLENDER YA KAZI MOJA WAKATI KWA BEI HII UNAPATA KAZI 6! AGIZA YAKO LEO! Bolt ni terack store ya mtaa wa muhoro na swahili
Terack store
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 16:06:12 GMT
Music
Download
Comments
Tilly❤️ :
ukisaga vyakula vya moto haipasuki
2026-10-25 17:15:37
0
De only one 🧚♀️ :
mbona bei ndogo ila mambo ni mengi 🤣
2026-10-26 03:56:20
0
efrasia njiro :
naitaka hiyo nipo moshi nitaipataje
2026-10-25 20:02:40
0
Addyibr3🔫 :
jaman si mngefanya laki tu 99 ndo nn na 900😂
2026-10-25 18:58:50
0
Abdallah Mwabondo :
naitaka hio
2026-10-25 16:47:12
0
Luonaturalsbeauty :
mnapatikana wapi
2026-10-25 19:09:05
0
mrs lucas :
nahitaji dear
2026-10-25 20:11:20
0
To see more videos from user @terackstore, please go to the Tikwm
homepage.