@leomusikula_tz: #PINPOINT : Hizi hapa nafasi alizozipata mshambuliaji wa boli Ibrahim Doumbia ndani ya dakika 60 alizocheza kwenye mchezo wa leo dhida ya 15 DE Agosto. Mwamba wa Juu hapa @leomusikula_tz video credit @azamtvsports
Daaah, huyu jamaa tumemvumilia sana ila hamna kitu jaman... Dirisha dogo atuache tu na maisha yetu..!! Tumekuwa na uvumilivu mkubwa sana kwake hata yeye mwenyewe analijua hilo..!!