@prophet_isaiah_mkailwa: AMKA KABLA HAIJACHELEWA! Usiilinde dini yako kuliko unavyotafuta wokovu wa roho yako! Sanamu haziwezi kukuokoa, miungu ya uongo haiwezi kukupa uzima wa milele, wala kila anayejifanya mtume hajatoka kwa Mungu hawezi kukupa uzima wa milele zaidi ya Yesu kristo peke yake. Acha ibada ya sanamu, geuka kutoka kwa miungu ya uongo, tubu dhambi zako, na umwamini Yesu Kristo peke yake. Dini haiwezi kuchukua nafasi ya toba, wala ibada za nje haziwezi kuokoa moyo usiogeuka kwa Mungu. Siku ya hukumu, hutahesabiwa haki kwa jina la dini yako, bali unahitaji wokovu ulio katika Yesu Kristo. Usisubiri hukumu ikufundishe kile ambacho Neno la Mungu linakuonya leo! “Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.” — Matendo 4:12 🔥 YESU KRISTO NDIYE MWOKOZI. TUBU, MWAMINI, NA UOKOKE LEO! #YesuKristo #Toba #Wokovu #InjiliYaKweli

Isaiah_Mkailwa
Isaiah_Mkailwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 16:49:18 GMT
27362
652
151
30

Music

Download

Comments

user7112947942614
h@w@ &@lk :
Uzur katoriki hatubishan na mtu mtajuwa wenyewe mapendo
2026-10-25 22:55:09
25
pascalwameli
Hussein wameli :
soma kutoka 25:17-22
2026-10-25 19:08:07
0
adriano.mngulwi
Adriano Mngulwi :
wengi hamjui tofauti ya kuabudu na mambo mengine kwahio mtakapojua mtaacha kejeli
2026-10-26 10:34:05
1
gerold396
geroldi777 :
lakn umewahi kuona Roman wanakimbia iman yao? ndo wanaongezek zaid
2026-10-26 06:28:51
8
emanuellohay31
Emanuel Daniel :
mnapenda kutufatilia sisi wacatholic
2026-10-25 19:52:41
15
kellyepas
kellyepas :
mapendo
2026-10-25 19:55:21
23
marllah06
magrethherin :
mm nimezunguka makanisa mengi makanisa mengi yana siri zao mambo meusi ni mengi nimerudi zangu katoliki kanisa langu makanisa mengi ya watu binafsi wana miungu yao
2026-10-25 21:11:37
10
.alcos14
Aliys_alim :
naomba kuuliza picha ya yesu mmeitoa wap wala hakukua na kamera ?
2026-10-26 12:35:38
3
user7454074907532
rehema thomas :
lakini ile ni picha ya mwigizazi siyo yamuhusika hapo hapana haotofautiani na sanamu ambazo yesu alisema🙆🙆🙆
2026-10-26 03:55:18
2
helenanyoni6
Helen :
Tumsifu Yesu Kristo
2026-10-26 09:04:00
4
petrobura803
Petro Bura :
mungu alisema na ni kwa wote na milele wakati wote ktk kutoka 20:4_6 usijifanyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote.mwisho wa nukuu.ni hakika mungu si geugeu hataridhia awaye yote aabuduye au achongaye sanamu yoyote.
2026-10-26 16:07:52
0
abdulucky845
Abdu :
mbn mnaweka Sanam ss hamuwek picha
2026-10-26 08:31:21
0
.sabato2
Sabato :
kutoka 20:3-6
2026-10-25 23:49:55
0
maryrosehenry2
Mary🌹🦋 :
Hata mm zaman nilikua sielew ila now najivunia kua mkatoriki🥰🥰
2026-10-26 09:07:31
4
jucy7749
jucy🌟 :
AKAMKAZIA MACHO...,[Heartwarming]🙏
2026-10-25 21:30:57
4
user4490038662065
Jenipher Kalemela :
Tumusifu yesu kristu
2026-10-26 07:44:02
0
user6847840638781
GRACE :
mapendooo
2026-10-26 12:20:00
2
mimitzq2
white sky :
TUMSIFU YESU KRISTO🥰
2026-10-25 22:00:06
4
mchumy_boy21
rajuki_tz 🤪🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
yeah nikweli picha ya bibi au babu nisawa maana nihalisi lakini hiyo sanamu haina ushahidi maana hakuna aliyemuona yesu wala huyo mama yake zaidi yahapo iliwalazimu watumie picha za waigizaji wa muvi ile ya maisha ya yesu akiwa duniani kama ilivyo andikwa katika Biblia, ila ukweli nikwamba picha hizo syo halisi maana hakuna aliyekuwa na ushahidi wa sura zao maana teknolojia haikuwa imegundua vifaa vya kutunza kumbukumbu kwa njia ya picha.asanteni yangu nihayo.
2026-10-26 11:44:38
0
psco93
Mwl.Pasco :
E bwana yee hata mseme nn Bado mm nasali tu catholic uzuri ni kwamba njia ni ileile kama unataka nitoke huku nione watu wapae bila kufa.
2026-10-25 21:21:32
3
78charle
Charles 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 :
Ivi kwanini watu mnakuwa makini kushikilia imani za watu kwanini usijipambanie mwenyewe na imani yako aaa mnakela bwana....😢
2026-10-26 06:37:10
3
sarafinasilvesta
miss ♥️🇹🇿 :
kwa upendo wa kristo
2026-10-25 21:10:43
2
leonard.mwimbage6
mr.organ mkatoliki :
mtuqche na dini yetu fanyen mamb yenu
2026-10-27 05:47:18
1
user3992914869135
Kevin masero :
2026-10-26 03:41:59
2
maua1911
maua :
bola waabuda sanamu kuliko wamiliki wa majini
2026-10-26 12:50:53
1
To see more videos from user @prophet_isaiah_mkailwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About