hayo ni maombi bro,maombi ni vita,vita siyo kunyenyekea,vita ni kupambana
2026-10-25 19:51:10
34
costancia Edgius B :
acha kupoteza watu sisi tunaongozwa na roho mtakatifu sio sheria ya mwanadamu
2026-10-26 04:50:00
14
Smaiyer Mussa :
nilijuwa ni mchezo wa mtafte mtafte
2026-10-26 08:31:12
6
magdarena :
who are you?
2026-10-25 18:51:27
0
Khalfan Mkerewe :
Waislam Taqbir
2026-10-26 07:17:43
11
Guga Inuka Kamanda Wa Jesus :
HIYO SIYO IBADA NI MAOMBI YA KUSHINDANA MAOMBI NI KIPANDE KIDOGO KTK SEHEMU YA IBADA. KWAIYO IBADA NI MJUMUISHO WA MAMBO MAKUU MNNE NAYO NI KUSIFU NA KUABUDU, KUOMBA, KUSOMA NENO AU MAHUBIRI, NA SADAKA. HAYO NDIO MAMBO MAKUU MHIMU INGAWA KUNA VIPENGERE VINGINE VINGI ZAIDI. KWAIYO HAPO SIYO IBADA NI MAOMBI TUU
2026-10-26 04:41:09
6
SHUJAA WA BWANA :
Huwezi ukaelewa kama hauko kiroho kaka hayo ni maombi na maombi ni vita kwahy Mungu mwenyewe yupo kazini hapo kama Mungu wako hajakuamuru ufanye hivyo usifanye tu ishi kulingana na iman yako inavyotaka 🙏
2026-10-25 18:56:59
8
Selemani1 :
waislam takbir
2026-10-26 05:39:04
8
MARTIN :
USICHOKIJUA MAOMBI YA KUKEMEA KAMA HAYO YANANGUVU BALAAA
2026-10-26 03:30:56
7
khaisajgirl :
alhamdulillah nimezaliwa muislam
2026-10-26 04:06:38
4
Moresby William :
hayo ni maombi kama hamjui Ibada na maombi tuwafundshe usikurupuke kijana Ibada watu wanakaa na kusikiliza injili hiyo ni session ya maombi
2026-10-25 21:24:42
8
Miracle :
Si kila wakati ni wa kunyenyekea huwez mfukuza shetan kwa kunyenyekea Bali kw kuvunja kubomoa kuharibu na kujenga🙌
2026-10-25 20:59:50
8
Alex Sarumbo :
kama hauko rohoni huwezi kuelewa broo
2026-10-26 09:30:11
1
MTETEZI WA MSALABA :
Fanya yako, acha anaabudiwa afanye kazi yake.
2026-10-25 17:59:52
5
Annalyn shop :
usitufundishe kila mtu asari anavyo jua
2026-10-26 08:44:52
1
Rhobina Raphaelyp :
wako sawa wanakemea maombi ya vita kwani hapo kuna ubaya gani
2026-10-26 02:53:31
3
DIRECTOR WISDOM :
ayo ni maombi siyo Ibada
2026-10-26 07:40:13
1
NEHEMIAH :
hayo ni maombi AMBAYO unaweza omba mda mrefu zaid bila kuchoka
2026-10-26 00:22:50
2
James Kulwa :
mambo ya Roho wa Mungu ni Sri na wanayo walio na Roho
2026-10-25 18:19:08
2
juliety Charles :
wew unasali wapi
2026-10-25 21:01:24
0
jeminus :
Umeokoka kaka?☺️
2026-10-26 04:10:28
1
Debor :
na lingine linasema bwana anaijua Aja ya Moto ako kabla ujamuoma ya bwana anawajua mawazo yet
2026-10-25 18:25:27
0
J@ :
imani yako ndo itakuponyaa unaweza kuomba kidgo ukajibiwa
2026-10-25 18:17:23
1
LIVINGSONTALENT :
Daaah kama kweli ivi jaman
2026-10-25 17:21:20
3
Jackline Kahasha :
Waachen watu wakemee mapepo
2026-10-25 23:02:21
1
To see more videos from user @wahondogoog1, please go to the Tikwm
homepage.