@siasatz: TANGANYIKA HAIKUWAHI KUWA KOLONI LA MUINGEREZA, ASILI YAKE NI WAMANYEMA Prof anasema jina la Tanganyika asili yake ni Wamanyema kabla ya hapo yalipendekezwa pia majina kadhaa kutumika kama utambulisho wa nchi hii ikiwemo Tabora na Kilimanjaro. Anasema pia Tanganyika halijawahi kuwa koloni la Muingereza Duhhh sasa shule tumelishwa matango pori au? #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30 #MaktabaYaMaarifa
Thank you Professor you are the best in explaining the history of our Nations
2026-10-25 21:49:39
1
shkely jr :
Legend of the history
2026-10-25 20:53:28
0
M king Market :
he understand the big history
2026-10-25 18:01:05
4
hasswill'z :
Kama makoloni ya ujerumani yaligawanywa kwa wale waoshinda, Basi Uingeraza alipewa Koloni , na Tanganyika ikawa Koloni la Uingereza
2026-10-25 19:47:54
2
jamie.hani :
thanks Prof
2026-10-25 19:42:45
1
Innocent Parsalaw :
German East Africa
2026-10-25 18:38:32
1
voisaclassic92 :
mzee ana history nzuri sana
2026-10-25 19:35:03
1
Prosper, JN ✅️ :
Uingereza iliteuliwa na League of Nation kuwa kiranja wa kutuvusha katika process ya kujipatia uhuru. Kwahiyo ni kweli Tanganyika haikuwahi kuwa koloni la muingereza.
2026-10-25 21:31:57
1
KHADIJA KIZAMBA :
Waaambie
2026-10-25 19:35:44
2
sadd'h..01🫵 :
waambie WANATAKA Tanganyika nimewaambia mkiitaka Tanganyika ndyo nn
2026-10-25 17:20:34
2
GRAND ROUND :
TANGANYIKA MAANA YAKE HORIZON. ni ile sehemu ukitazama mbali unaona ardhi na mbingu zimegusana lakini hata uende mbele kiasi gani hutaifikia.
2026-10-26 00:48:22
0
FILAE(food is life and energy) :
tanganyika ilitokana na nini
2026-10-25 23:29:28
0
MELELE jr :
wajina wangu Idan
2026-10-25 20:58:07
0
Emperor👑👑 :
ni Shule ambayo Kila mtu anaijua kuwa Tanganyika haikuwa colon la muingereza bali Tanganyika ilikuwa mandatory tu kwa uingereza
2026-10-25 18:46:57
4
LOMY Disiner :
kumbe wakoloni walitumia ukatoliki kutawala nchi za AFRIKA
2026-10-25 19:14:19
1
Mizani_ya_Imani :
nguvu kubwa kwenye vitu vidogo
2026-10-25 20:25:22
1
Emma :
inamaana mitaala ya shule tumelishwa matango pori kma professor una sema hii leo badilisheni badilishen mitaaala ya shule kabala 2050 ili vizazi hivyo vijue history ya tanganika
2026-10-25 18:10:14
1
Rick loss vingilivangala :
wewe
2026-10-25 19:38:05
1
Chakubuta Mwamba :
Wamanyema hapana. Ni wabembe.
2026-10-25 20:49:16
0
kingjatelojr :
kwan we shule hukufundishwa kuwa ujerumani ilipinduliwa??
2026-10-25 22:33:36
0
Nassoro Mkwanje :
Tanganyika asili yake ni Tanga na nyika ni pori Hilo Tanganyika la kimanyema ni nyingine mzee
2026-10-25 21:47:53
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.