@rahlijumanne:

Super women👄
Super women👄
Open In TikTok:
Region: OM
Sunday 25 October 2026 17:17:36 GMT
16694
498
402
53

Music

Download

Comments

rahmaninoh00
habibty rahma🧕♥️🌹✨🕊️🇴🇲 :
tupowengi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 15:43:07
0
neemambawala957
Neema Mbawala :
team beti mama iyo nachoka mm 🙌
2026-10-26 11:17:31
0
mish00661
Dan Ndegwa♊️💯🥰 :
😂😂😂😂😂😂sister hood is proud 👏 of you good 😁
2026-10-26 19:33:58
0
zainabuabdallah815
Zainabu Abdallah :
aha ha haaa😁
2026-10-26 05:17:06
1
marykemmy5437
Joy Joyce :
tuko kimoja oman waaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Red heart]
2026-10-26 05:18:55
1
ukhty.halima8
Only peace ♥️ :
Akaaaaah😂
2026-10-26 17:40:36
1
anastaziabonphace
🇹🇿 Tanzania✈️✈️ :
Sio wewe mwanetu hata mimi nafanya kubadirisha kila siku, leo nimepika za kusukuma kesho za maji yaan hawanunui vitafunwa kila siku tena naamka saa kumi usiku nimechoka sana kwakweli 2027 ifike tuu
2026-10-26 04:45:05
21
anna.wa.juakali
Anna wa juakali 🇦🇪🇹🇿 :
Sasa ninayo pitia Oman saizi kwenye ndoa nitatulia kamdomo nitaacha mikono imetoka vigimbi Kwa ajili ya kusukuma chapati [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 05:33:49
3
mamake.talisa
Mamake Talisa💕💕💕 :
Oman ipewe sifa😂😂😂ilifanya nikajua kupika chapo
2026-10-26 14:22:45
6
sharifabakari4
DA SHERRY🇴🇲✈️🇹🇿🙏 :
Kuna mm Kila cku ucku nafanya kubadilisha leo makoronya kesho chapat dah nimechoka jamani 😂😂
2026-10-26 15:17:00
5
mwasity.jamaly
binty jamaly🦋 :
Tuko wengi mama 😂😂😂2027 siiioni joamanii nimechok kila siku sowi chapati
2026-10-26 14:09:15
5
husnayn6
Husnayn🥰♥️♥️♥️♥️ :
hahaha 🤣🤣
2026-10-26 20:26:19
1
neemaamasi1
neemaamasi1 :
dada usijali tuko wengi mm pia kwangu ni kila siku ila kwangu ni jion akii mpka kifuq nahisi kama kina kireck
2026-10-26 09:47:40
5
wistoni59
Aneth :
Yani mm jeuri yote imeisha nikirudi nitafute bwana anioe tu nimuheshimu nimechoka na Oman mimi 😂😂 chapat kila siku
2026-10-26 04:35:44
5
cute.team21
Cute🇹🇿♥️✈️🇴🇲 Team👉💪 :
😂😂😂😂😂😂 wew kama me apa 😂😂😁😁
2026-10-26 20:15:23
1
shadylrqfda
nia :
mm nimechoka kuamka saa kumi
2026-10-26 14:47:23
2
raa542514
Raa :
Nimecheka wallah 😂😂😂
2026-10-26 10:55:16
1
nusra.seif
Nusra seif :
udugu umebaruza
2026-10-26 05:41:37
2
mtzii3
Mtzii :
2026-10-26 08:40:59
1
mwanahawakassimu20
my mwana :
nashukuru mungu vyakula me najipangia ni pike nn wangu Hana mda wakuniagiza pika ikipika iki yy Bora upike wale ko Nina siku zangu za kupika chapati mana zinachosha jmn pole kpn
2026-10-26 05:41:10
1
zamyuni3
zamyunimohamedkit :
🤣🤣🤣🤣🤣 Leo umewaweza
2026-10-26 12:49:59
1
sarahjohnjohn122
sarahjohn mbijima :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kabsa
2026-10-26 05:49:59
1
harusimbwanahamad
umuhati💞💞💞💞 :
izo hazikai sawa kuna zangu sasa uwiiiiiiii🤣🤣🤣
2026-10-26 08:06:48
1
maa.fridaus
maa fridaus :
😂😂😂 na bado
2026-10-26 09:26:51
1
salomesima233
it's Salome🦋💕 :
😂😂😂😂hiyo ukiwa wap iyooooooo mwanetu😂😂😂😂😂👯
2026-10-26 09:58:44
1
To see more videos from user @rahlijumanne, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About