@lawrancenyigu: #amieli #motivational #motivation #realfacts #real

MTUMISHI WA MUNGU
MTUMISHI WA MUNGU
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 17:31:18 GMT
43897
2442
102
865

Music

Download

Comments

wolfgangobedi
Mtumishi Obedi Mathayo :
This man God proved him to reveal to us
2026-10-26 05:11:57
0
josephine.makabil
Josephine Makabila :
God help me 🙏
2026-10-26 19:30:40
0
graciousgracias43
Gracious Gracias :
we yesu 🙏🙏🙏. 😥😥
2026-10-26 06:11:04
0
ina43172
Ina :
vp kuhusu nyuzi zakusukia piah n mbaya?
2026-10-26 04:31:03
4
wema.dressstylish
wema Dress Stylish :
mm huwa nawaza huwa mnavijuaje hivyo vyote
2026-10-26 06:33:07
2
user3517281548806
Happy 😊 :
mungu atusaidie sana
2026-10-27 17:48:52
1
winnel84
learnfrida♥️♥️🩵🇹🇿 :
duuuh Mungu wangu na hapa nimesuka sasa nitajuaje kipi ni sahihi roho mtakatifu nisaidie mimi
2026-10-25 23:04:06
3
oswordi.modesti.b
Oswordi modesti Bihaz :
Napenda kujua ww pasta hayo mambo unajuaje twambie
2026-10-25 20:47:30
2
elinah5010
Elinah💞😍🌺 :
mtumishi hapo kwa mimba nimebebeshwa miaka sita sasa , nikipima haionekani lkn nikitembea watu wanadhani Niko nayo😳😳😳😳 niombee
2026-10-26 20:56:36
2
anitha.revelian
Anitha Revelian :
amina baba ubalikiwe ukonga tumekukumbuka sana karibu
2026-10-27 06:30:33
1
emmanuelmartin097
emmanuelmartin097 :
ubarikiwe sana baba kwakutufundisha vzul ubarikiwe sana
2026-10-26 04:40:11
3
evalinemollel17
Evaline Mollel :
Asante sana kwa mafunzo ubarikiwe kwa uhakika zaidi tusikilize mafunzo ya pastor Ezekiel Odero kutoka kenya hueleza haya pia
2026-10-27 11:10:57
1
gabrieldamian7
middle mix ⚡ :
imeandikwa katika wagalatia 1:9 nayo inasema ikija injili tofaut na hii msiipokee ata ikishushwa na malaika . Apo mtumishi kasema sio kila dawa wala si kila mawigi vinatengenezwa kuzimu kwahyo watumishi msijiwekee nira ad mkaingia kwenye injili isiyo achiliwa na Yesu kristo
2026-10-26 11:46:45
2
consolathagodwin4
consolatha :
amina nakupenda san katekela
2026-10-26 11:26:57
1
justinemalkia
Justine Malkia :
mungu akubariki
2026-10-25 21:42:38
0
user836118903
SUPERG :
kwanza akili yangu imevurugika 😭😭eeh Mungu nisaidie🙏🙏
2026-10-26 08:55:30
1
anitha.revelian
Anitha Revelian :
sasa baba tutajuaje hii ni nzr na hii ni mbaya
2026-10-27 06:32:56
1
justinemalkia
Justine Malkia :
[Sticker] 🥰
2026-10-25 21:42:10
2
user8538570888327
l'or mujinga solitaire :
nikweli
2026-10-25 20:17:02
1
user7498568757059
JEANViER :
Amen
2026-10-25 20:23:24
1
jamesluas12
James :
aiseeeeh!!
2026-10-25 20:38:40
1
adorry72
Adorry 😍 :
mungu wangu naomba anisaidie Amin 🙏 asante mtumishi WA mungu
2026-10-26 05:27:07
1
moneyforlife95
Princess madera/vijora :
ee Mungu wangu tusaidie
2026-10-26 04:46:52
1
joycephares0
joycephares0 :
Amina
2026-10-25 19:54:38
1
mwiks67
mwiks :
😳😳😳
2026-10-27 13:17:21
0
To see more videos from user @lawrancenyigu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About