@nchimbi.gym.fitne: 🔥 NCHIMBI FITNESS | BIG UP CLOUDS JOGGING & CLOUDS FM! 🔥 Hongera sana kwa viongozi wa Clouds Jogging na Clouds Media (Clouds FM) pamoja na wadau wote waliofanikisha tukio hili kubwa na la kipekee! 👏💪 Hakika jambo lilikuwa zuri sana! Washiriki wamefurahia, burudani ilikuwa ya kutosha, na mshikamano ndani ya familia ya jogging umeonekana kwa vitendo. NCHIMBI FITNESS nasi tulikuwa sehemu ya tukio hili kubwa, tukashiriki kikamilifu na kama kawaida, hatukukosa kufanya challenge zetu! 💪🔥 Washiriki walipambana kwenye push-up challenge, na kama ilivyo desturi yetu, tulionyesha nguvu, uwezo na hamasa ya mazoezi. 👏 BIG UP kwa uongozi mzima wa Clouds Jogging na Clouds Media! Tunawapongeza kwa kazi kubwa mnayoifanya katika kukuza mchezo wa jogging, kuunganisha watu na kuhamasisha jamii kupenda mazoezi. Tunawaamini, tunawaunga mkono na tunatarajia kuona makubwa zaidi katika safari hii ya kuendeleza jogging nchini. NCHIMBI FITNESS — Afya bora kwa wote! 🔥 Bendera chuma, mlingoti chuma! 💪🏾 #NchimbiFitness #CloudsJogging #CloudsFM #CloudsMedia #JoggingFamily
NCHIMBI GYM FITNESS
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 17:35:08 GMT
Music
Download
Comments
Sayeed💠 :
mpenzi zawadi yake jmn [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 08:42:21
0
Ibrahimmuhidini :
naomba na mm iyo
2026-10-26 13:22:52
0
Sikiliza Huyu 🗣 :
Amejitahid sana 🫡
2026-10-26 08:05:20
0
@noelybodguad :
nchimbi utakuja kuuwa watoto wawatu
2026-10-26 05:30:15
1
abou :
kaz nzur tunaomba na zawale jamaa wa vibody vya njano chini kule
2026-10-25 18:53:59
0
Ba Mdogo :
🔥🔥🔥
2026-10-26 06:22:31
0
@Miss suuh og❤️ :
,🔥🔥🔥
2026-10-25 17:40:44
0
Official p🎀💓💞 :
😂😂😂😂😂
2026-10-26 10:51:05
0
To see more videos from user @nchimbi.gym.fitne, please go to the Tikwm
homepage.