@khalidimagaridodomamjini:

Khalid magari dodoma mjini
Khalid magari dodoma mjini
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 18:26:22 GMT
94085
1531
124
265

Music

Download

Comments

hosan_w
𝐇 𝐒 𝐍 :
Wote hao ndugu kesho usishangae wambele Yuko nyuma
2026-10-26 10:35:26
20
deogratiaskashindye1
Deogratias Kashindye :
Pipa na mfuniko[Tears of joy][Big LOL]
2026-10-26 08:30:22
0
user7046862866031
Levis Patric @mc msomali :
mazda so gari mbovu kuna mambo kadhaa kwanza dizel zetu mara nyingi chafu,oil ambazo mafundi wanatuwekea ni tofauti na zile recomended kwenye manual book gari au kwenye mfuniko wa oil ,ukiona mtu mazda inamsumbua jua ndo wale wale wanafata ushauri wa fundi na siyo kilichoandikwa kwenye gari
2026-10-25 18:44:35
23
liliangrant4346
Lilian Grant701 :
Wamekutana hao
2026-10-25 18:40:19
6
sheislibra19
@ :
Bhana mtajua wenyewe me mpka nije nipate ushahidi kwa macho yangu 😏😂😂🙌
2026-10-26 10:18:27
5
shamiramwegio
Shamira Mwegio :
gar ya ndoto zangu
2026-10-26 10:03:44
2
stevensmushi312
sise :
NAKILI KWA AKILI ZANGU MAZDA ILICHO NIFANYA SITO SAHAU IZI SIO GARI JAMAN 🙌🙌
2026-10-25 20:54:01
8
mamandegeoutfit
mamandegeoutfit123 :
😁😁hapo unakuta mazda ya wife
2026-10-26 06:17:54
1
waria821
waria821 :
Shida sio gari shida ni watu kutaka vitu visivyowataka uwezi kulazimisha mapenzi…kuna watu wanaenjoy hiyo gari balaa kwasababu inaendana na mahitaji yao, sasa unakuta mtu ananunua gari kisa flani analo au ana gari ipo kwenye range ya bajet yake na yeye anataka awe nalo lazima uache chupi!! Mazda ni kama breed ya mbwe Belgian malinois sasa kafuge iyo breed alafu hujui kitu kuhusu mbwa atakushangaza ndio mazda sasa.,wanaipa sifa mbaya wakati wao ndio uelewa wao wa hiyo gari ni mdogo na mechanics pia kuna kanamna hio sio premio unaenda kwa fundi ilimradi inaitwa garage utashtuka jomba, inataka watu makini sana sio wenye mindset ya toyota tu kichwani…
2026-10-25 19:44:21
6
contraction.group
$contraction group.zanzibar :
wafu kwa wafu wakikokotana ao wete sawa
2026-10-26 17:09:46
0
ray_wakwetu24
RAY WAKWETU :
Husisahau kusema CX5 😁😁😁
2026-10-25 21:01:31
3
smartcleanerscomp
SMART CLEANERS COMPANY LIMITED :
afunge engine ya ist kama jamaa yangu uku abadili na gia box
2026-10-25 18:40:33
2
tmmaranya
TMMaranya :
Shida ni mafundi, oili na spare fake.
2026-10-26 04:25:46
1
sebastianmakenzi1
Sebastian Makenzi :
hahahahaha uhakika kaka
2026-10-25 18:32:15
1
am_awe_255
am_awe :
ukiona Mazda ujue Kuna mambo hayo ✌🏻
2026-10-25 23:09:35
1
sospeter.masula3
sospeter masula :
gari ya maraha imefikaje huko
2026-10-26 08:45:12
1
hancymagari
𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬𝐢𝐜 𝐜𝐚𝐫𝐬 :
hii tulimuagizia mteja imefika kaenda karikoo kununua tairi saa ya kurudi ikafia magomeni kaenda police kushtk kua tumembadilishia engen 🤣
2026-10-26 03:15:02
1
ezra_mandinga
Ezra_mandinga :
cx5 2015 ww n atari
2026-10-26 04:57:52
1
tegetamassage
Tegeta Massage :
Hapo ni kaka na Dada😂
2026-10-26 17:46:15
0
millionairechrix
Dapper chrix 💣 :
hapo inaenda Dar kwa mazda clinic goba
2026-10-26 13:22:05
0
nabii.camara
Nabii Camara :
Izi gari walichemka sana
2026-10-26 18:42:41
0
inocent.mhina
Inocent Mhina :
ukizoea Toyota lazima uone Mazda mbovu
2026-10-26 21:31:49
0
patrickntakisigay2
Ntakisigaye :
kwani imefanyeje
2026-10-26 14:46:41
0
boharimusic
BohariMusic :
Magari yana streess sana aiseee tuchague kwa hekima
2026-10-26 17:28:10
0
emiliankapinga856
Emiliankapinga :
Apo Wamekutana Sanga na Mbilinyi Wote Wakinga[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 20:26:36
0
To see more videos from user @khalidimagaridodomamjini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About