kama Kuna shekhe nnae mkubali ni shekhe mselem mashalllaaa mungu azidi kukulinda ...nakupenda kwa ajili ya Allah mungu nijalie watoto wangu wawe kama huyu...
2026-10-26 13:13:44
11
sheria :
Allahul-mustaaan Wallah 😅😅
2026-10-25 18:46:25
4
chief kipengele :
sheikh mselem, nikimsikiliza imani ya dini hunijaa allah azidi kumuweka na ampe afya zaidi aamin
2026-10-26 11:39:12
6
KALI :
wallaahi , shehe wetu , Mwenyezi Mungu ,(SW) , akubariki na akupe kila la kheri , umri mrefu wenye afya na manfaa kwako na sisi . Ni mda mrefu umekuwa nasi , politically and religiously na tumefaidika sana kupitia kwako , alhamdu lillaah !
2026-10-27 06:48:01
3
Hashid :
MashaAllah, Sheikh wetu 🤲❤️Allah akuzidishie neema tele, akujalie afya njema, maisha marefu yenye baraka, na akulinde na kila shari. Allah aendelee kukupa elimu yenye manufaa na hekima ili uendelee kutupa mawaidha yenye kutukumbusha na kutuimarisha katika Dini yetu. Allah akulipe kheri kwa kila neno jema unalotufundisha. Aamiin ya Rabb 🤲❤️
2026-10-26 20:19:39
2
Rahmay make up& dresser :
Allah akuhifadh shekh wetu
2026-10-27 04:05:51
1
mashaallah :
Allah atusamehe kw yote yalopita saivi Tushkamane na Dini ya Allah. Ayo yalopita yanachekeshi ila ndani yake Yanauma.Tumuombe Allah atusahaulishe.😁😁
2026-10-29 21:24:49
0
user236876124630 :
pole sana sheikh wangu Mashallah, iyo rangi nitaipenda kwa ajili ya Allah tu na si vyengine
2026-10-25 20:55:26
3
haiha :
nilikuwepo leo masjid rahman
2026-10-25 20:13:51
2
Shilingi :
ماشاء الله
2026-10-26 23:04:41
0
Ummu Hawwa@h3 :
Subhanaallah Allah akuhifadh sheikh Msellem 🤣
2026-10-26 09:41:29
1
Ali Makame :
kuna rafikiyangu alikosa mke kwasababu anaitwa sefu kijijiflsni apo unguja[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-27 20:56:49
0
user85414522713296 :
Allahumma barik🥰🥰🥰
2026-10-26 04:45:14
1
Tindamanyire :
Maashaallah, Shk nakupenda kwa ajili ya Allah s. w , Namuomba Allah sw akupe umri mrefu wenye manufaa
2026-10-27 07:34:24
0
Kamara 😇 :
othtazi Aslam alykum naomba namba yako
2026-10-25 21:07:07
1
Ally Namala :
Twayyib
2026-10-26 05:04:37
1
Kamara 😇 :
Mimi ni muislamu na ni mzanzibari
2026-10-25 21:08:23
0
user30798881816942 :
Allah akubaiki
2026-10-26 08:10:59
0
AHAZ :
Mungu akupe afya njema
2026-10-30 19:47:37
0
nkwimba :
ila vyama😂😅
2026-10-26 12:08:48
0
user8283639607318 :
2026-10-26 13:14:46
0
Mohd Salm :
masha allah
2026-10-26 10:11:10
0
twanta :
rangi ya magereza😂😂😂 Allah akulinde na mitihani mengine namengi
2026-10-26 05:44:54
1
To see more videos from user @msellemchannel, please go to the Tikwm
homepage.