@echoesofthelegents: Dunia kwaheri, naenda kwa YesuSina shaka tena, naitwa na Yesu 💔Remmy Ongala 1947-2010 alikuwa DOKTA wa muziki! Kutoka Ubongo Beat hadi Gospel 2004! Alianzisha Super Matimila 1978, alitishiwa deportation kwa kuimba ukweli, alipata stroke 3 na kisukari, mwisho akaokoka na kuimba Dunia! Kilichomuua: Kidney failure + kisukari 😭Heshima Dokta! 🇹🇿❤️#RemmyOngala #DuniaKwaheri #SuperMatimila #OldIsGold #BongoBeat #Tanzania #Gospel #RIp