@tungohub: "Kama kukupenda ni makosa, sitaki kuwa sawa duniani!" 😍😍😍 Atakaye faulu kaniambia ilikuwa mwaka gani hili dude limeachiwa, kuna elfu 30 yake hapa! 🔺SONG : Nibebe 🔺 ARTIST : Nyota ndogo Ft Nonini. #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #Love #creatorsearchinsights