wa red amezubaa kama Mimi 1996 Eldoret uruma nikiwa mgeni hio church sikurudi tena🤣🤣
2026-10-27 17:26:05
0
teacher Joys :
hii church inakuanga na young mothers...cjui y
2026-10-27 09:50:31
0
Beatrice Nafula :
Ameen nimeona mamangu metrine,tupu kabisa mpaka shetani ahame kwa maisha yetu
2026-10-26 07:25:19
1
kids closet :
nimewai enda kwa my cousin nikiwa mdogo nikapelekwa church kumbe unaingia ukiacha viatu kwa mlango wacha time ya watu kugonga miguu chini hivi na wamefunga mlango nikajikuta nimesimama kwa ukuta peke yangu 😂😂😂😂😂time mlango ilifunguliwa ndio nilitoka nikipotea wuee wacha nikufie catholic to juu wuee ni ngumu sitawai sahau hiyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 20:29:49
0
Ali :
kila mmoja Kwa line yke [Pray][Pray]
2026-10-27 17:41:38
0
Cynthia Inyambula :
Haya maombi ya kutubu yana nguvu sana. Yesu usamehe....usamehe..
2026-10-26 20:28:42
2
mwanah wa dhorubini :
mnavunja na kuchoma nini
2026-10-26 23:18:51
0
P.k💕💕💕velo💜💜 stubborn 💜 :
mko wapi tuwajoini
2026-10-27 10:50:30
0
Ni Nancie💝 :
hii song ni mpya 🤔🙄
2026-10-27 03:35:00
0
maurineakechi :
Haki wamama
2026-10-27 10:34:01
0
joan7035 :
kazi ipoo
2026-10-27 00:02:46
0
user48177984058340 :
Amen
2026-10-26 06:40:57
0
Alice lover garl❤️ :
Amen
2026-10-26 11:39:17
1
scarlet shareen :
l miss this🙏🙏
2026-10-26 20:23:08
0
Lauren :
hii ndo ilikua kutubu ya kitambo siku hizi watu wameitoa haipo
2026-10-26 20:40:17
0
Naomi were :
hiyo diyo nataka sasa
2026-10-27 19:00:26
0
Esther Adhiambo :
nmemiss 😭🙏
2026-10-27 18:48:55
0
Austiee💘💘 :
Mm nae uwezii n record km naombaa eiiiish
2026-10-27 05:47:09
0
puritychore :
Amen
2026-10-26 20:08:05
0
To see more videos from user @enockndagala, please go to the Tikwm
homepage.