Izo bei za mkoa gani acheni kutugombanisha basi 😂😂😂
2026-10-26 03:27:56
15
🍃 :
Hizi bei za wapi?😂
2026-10-26 14:15:32
0
AISHY🦋🛍️ :
Jamn hii bei ipo wap hap nimeshanunia tu vit vya mtoto lak2 na avitosh nachok mim
2026-10-26 05:14:11
3
Lisa :
mi hata clinic sijaanza hivi kuanza clinic unatakiwa uwe na shi ngapi ...na je hizi hospital za serikali kujifungua hua shi ngapi
2026-10-26 08:33:01
2
Miry Lyker :
achana na bei nipe location 2 🥺
2026-10-26 07:08:56
0
Gracious :
babyshow ya 6,000 inapatikana wapi😳😳😳😳😳 mweeeeeee mbona sas me naonekana kibaka mzoefu😂😂😂😂😂
2026-10-27 18:15:51
2
Maua🦋🌹💐 :
Hizo bei zinauzwa wap nije na mama wajawazito watano
2026-10-25 22:15:25
3
Nia_braids :
ficheni hii post ba mtu asione 🥺🥺
2026-10-26 10:43:05
0
✨Ms naah💦 :
mmmh hii bajeti asiione baba kija wangu 😳
2026-10-26 09:14:08
0
اسش 🌸 :
amiin
2026-10-26 03:04:40
0
Ray @shaid :
wapi huko jamani mbon mnatuchanganya na hizo bei🤣🤣
2026-10-26 04:42:17
0
fine girl :
mko wap nije 🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 18:37:08
0
preciouslove :
Izi bei ni wapi nikanunue set nne za mtoto elf 30
2026-10-26 05:23:11
0
𝑴𝒓𝒔 𝑺𝒊𝒎𝒃𝒂 :
Hizo bei sio kweli 😂😂😂
2026-10-26 02:22:33
1
bimzuri6 :
Mume wangu akiona hii nitaonekana mwizi wakat hata laki5 haikutosha hivyo vya mtoto hapo kwa mama tuu matenty pedi parkit moja 25000 malkia ped 2 ni sawa na 50000 Tulieni uzazi si kitu cha kutania bhna
2026-10-26 09:52:44
1
user6198071098601 :
nipeni hili chimbo jamni
2026-10-26 10:42:40
0
🦋Fifi..!! :
Nlkua nataka niidownload hii video nmeacha…namjua mwanaume wangu atakupa hii ela iliyopo hapaaa msitugombanishe jamanii
2026-10-28 08:20:56
0
S🐬 :
Bei za mkoa gani ibedi nikae kwanza aseeeee
2026-10-28 06:14:46
0
J💕net kerubo :
Hii post n ya Tanzania sindio
2026-10-28 19:51:57
0
Beatrice Bahati :
mm nlienda na beseni kabisa lkn jumla ya v2 vyote nlinunua
besani 3000
pempas 5000
nguo za mtt pea 4 nlinunua 10000
pedi 2 ni 4000
mafuta 1000
madera 2 tena used
2026-10-26 21:00:18
0
MR ARIES ♈ :
mm nimeambiwa nipelekee lak 8 💔🥹
2026-10-31 08:23:57
0
😎📖Giggle Guru🌟 :
hakuna bei ya hvo mwayaa
2026-10-31 16:17:11
0
🌹😇 :
sijawahi vaa chupi inayozidi elfu moja, na sidiria nimenunua bei sana basi ni elfu 2000 mwisho usinishauri tafadhali utanichanganya 🙌🏽😂😂
2026-10-27 14:45:08
0
credible 🥰🥰 :
maisha sio rahisi hivyo my dear
2026-10-30 12:32:05
0
preciouslove :
Mnataka kutugombanisha na watoa hela sasa
2026-10-26 05:23:31
0
To see more videos from user @kazirankanda, please go to the Tikwm
homepage.