mkiona simba anaongoza ligi ujue yanga hajacheza [Starstruck]
2026-10-26 09:31:14
0
mache the boy :
Nauza mpenzi wangu nikaione simba yangu
2026-10-26 07:46:42
1
khadijahmood :
Kuna wa2 wanasema mwakan tena😂😂😂😂
2026-10-26 07:36:24
0
Mazengo mjukuu :
ukweli usemwe Simba wanaubunifu bhanaaaaaa😂🥰🥰🥰🥰 namna ya kuishangilia Simba yao wakt wa huzuni wakat wa furaha Bwna weeee SIMBAAAAA mnauvumilivu wakati wenu ni sasa mwenzenu nilienda likizo ya ushabik presha ya mpira ingenilaza😂😂😂😂
2026-10-26 05:22:54
0
Farda Twahaa :
huku tuna enjoi upande wapili wanateseka
2026-10-26 05:19:41
1
To see more videos from user @mabomnyama, please go to the Tikwm
homepage.