@drchinja: TIBA YA VIFUNGO VYA KICHAWI / KIJINI ULIVYO FUNGWA ILI USIENDELEE ✍️ Kuna aina ya vifungo vya kichawi ambavyo wachawi au majini au masheytwan huwafunga watu ili kuto kufikia maendeleo na malengo yao! Mfano wa aina hizo za vifungo 👉Kuna watu wamefungwa kichawi wasimiliki pesa nyingi ilhali vyanzo vya kumiliki wanavyo 👉Kuna vifungo ambavyo watu hufungwa kwa kuto kupandishwa vyeo makazini au kupewa nafasi zao stahiki ilhali sifa wanazo ila vifungo huwafanya wakae kwenye nafasi hiyo mpaka ku staff 👉Kuna watu ambao wamefungwa kwenye biashara bimaana wasipande kimtaji au kifaida au mzigo wa biashara, mtu anafanya biashara miaka 10 ukimuuliza umefanya kipi cha maana hana jibu WATU MFANO WA HAO NA WENGINE WATUMIE TIBA HII 👇 1.Unatakiwa ufanyiwe kisomo kwa muda wa siku nne hadi saba nyakati tofauti na siku tofauti 2.Kisomo ambacho utatakiwa kukifanya 👇 👉Surah zote zinazo anza na kiapo yaani surah zenye kuanza na wau mfano: washamsi, wattin, walmursalati, waswaffati n.k 👉Kitabu cha ganjul-Arshi 👉Kitabu cha wasiilat shafii 👉Siku ya saba au ya nne utamalizia na Surat raad saba 3.Utaweka maji kila siku wakati unamsomea ili baada ya kisomo una mmwagia DAWA 📌 👉Mafuta ya Simba kwaajili ya kupakaa 👉Mjafari kwaajili ya kunywa na kuchemsha kikombe cha chai kutwa mara mbili 👉Fusho chafu kwaajili ya kujifukiza 👉Ambari nyeupe kwaajili ya kujifukiza kila siku unapo enda kwenye kazi zako 👉Ufunguo, mwigajini, mpapatiko, mchekea, mwinamo Hizi ni dawa za kukoga mgonjwa 📌 UFAFANUZI 📌 *Dawa hizi zitumike siku 21 mfululizo *Hutakiwi kuacha siku hata moja *Usafi kwa msomaji na anaye somewa Dr Chinja 🇹🇿 TIBA | USHAURI | NASAHA ☎️ +255757154158 ☎️ +255617672595 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #oman🇴🇲 #dubai🇦🇪

DR CHINJA 🇹🇿
DR CHINJA 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 21:34:40 GMT
4272
323
6
22

Music

Download

Comments

user6557318032254
smart mamy :
kaka mm kila nikilala naota naenda baharini maana yake nini
2026-10-30 16:42:30
0
she.iz.fatty
She Iz Fatty :
2026-10-26 06:03:07
0
usereshay4244
🦋🦋Ms Eshay🦋🦋 :
🫀❤️
2026-11-08 10:33:00
0
To see more videos from user @drchinja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About