Dah! R.I.P mwanangu chugga jana tulikuwa wote mpaka saa4 usiku na ukaaga kusema unaenda kuchek game ya Madrid kama ulikuwa unatuaga mzee Allah akuweke mahara pemaa pepon🥲🙌🙏
2026-10-26 06:42:34
6
𝓶𝓹𝓪𝓻𝓮 𝓽𝔁 :
daah noma aiseee[Teary eyed]
2026-10-26 07:24:40
0
Muuh Mkali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 :
poleni
2026-10-26 11:01:37
0
Mkushi O block :
wapi iyoo wakuu🤔
2026-10-26 04:57:34
0
Vitalis Mushi :
sio bajaji ya moshi iyoo
2026-10-26 20:15:44
1
Tabobo Fundi :
N0ma Sana[Pray]
2026-10-26 10:25:43
0
John Magari :
hii Moro lini Tena duu mungu atunusulu madereva
2026-10-26 06:53:56
1
lightness kishamba :
yani iuma rafiki yangu jaman☺️🤣😂
2026-10-26 17:49:08
0
🦋 Jolie 🍫🍹🦋 :
mhhhhh polen
2026-10-26 05:54:06
0
markiaCareen :
mungu utupe mwisho mwema😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-26 09:52:29
1
Murah Khan 💪🚛🚛🇹🇿 :
rest in peace appolo
2026-10-26 15:02:11
0
🥰💕❤️ :
Jmn chazi ndo katuacha 😭😭😭😭
2026-10-26 19:01:52
0
Gody Jaguar :
dah msela kaenda 💔🕊️... R.I.P mpambanaji
2026-10-26 16:37:08
0
Costantino Jumong :
mwanangu chuga daa
2026-10-26 17:16:46
0
mc ujogolo :
😭😭😭😭 na choka mimi naomba mungu nipe mda kidogo nitimize malengo
2026-10-26 17:42:50
0
Said John :
kila kaz ina majanga yake
2026-10-26 14:31:59
0
Zuhurah Jalibu🥰😍 :
malume iyobajj yayulemkaka anakaa 88 pale au
2026-10-26 14:50:30
0
Vitalis Mushi :
Kagongana na nn?
2026-10-26 20:16:42
1
🫅_FUJOO_👑 :
da
2026-10-26 08:51:46
0
fadhiri :
pore sana
2026-10-26 10:35:36
0
RAMA D TZ 💥 :
pumzika kwa amani mwanangu wewe
2026-10-26 20:30:02
0
Khatibu Bwashekhe :
😭😭😭chugga rest is piece my friend
2026-10-26 09:26:06
0
🥰🥰odo sally🦋🦋 :
sitamani hata kutazama hii video chugga kwer haupo tena duniani dereva wangu😭😭😭😭
2026-10-26 21:04:43
0
Hassan Ally :
Daaah nomaah t
2026-10-26 18:52:22
0
🫅_FUJOO_👑 :
msaada wa picha jamani
2026-10-26 10:46:38
0
To see more videos from user @ibrahimsaid7691, please go to the Tikwm
homepage.