Anashauri watu waache kazi yeye mwenyewe kaajiri watu anawalipa laki 2
2026-10-26 11:14:28
9
BABALAO :
watu wakishajipata wanaona wanaolipwa lak 4 wanapoteza mda😄😄😄
2026-10-26 07:29:19
12
Tham's classic :
daaa one day YES
2026-10-26 12:47:25
1
D heaven 444 :
kua na akili safiri duniani,tembea uone jinsi watu wxna shida, Na Sio wote Ni wafanya Biashara huyo anelipwa lakin 4 ndo huyohuyo atakua mteja, be wise think out from the box
2026-10-26 13:54:29
2
MALI SAFI :
akuna kazi tamu apa duniani kama biashara guys. ila kuianza ni ngumu mno.
2026-10-26 08:42:04
6
djxmumbabella :
nipe mtaji kijana niache kazi
2026-10-26 12:14:31
2
Ochacha Ndimbo :
usiache kz kam ujapata kz
2026-10-26 15:25:46
1
Mr Subaru 🥷 :
Niliacha kazi ya 700k inshallah now💪🥰
2026-10-26 05:48:13
5
Ibusix :
sahihi brooo mi nalipwa laki 2
2026-10-26 14:58:47
1
Conte de 26 :
Bora mwenyewe kazi maana anajua MUNGU
2026-10-26 15:10:55
1
makingo mr fish🦈🦈🇹🇿 :
mmh km kweli
2026-10-26 14:54:06
1
Notorious :
kama mnadhani maisha ni rahisi kiasi hiko basi kila aje huku kwenye biashara[Tears of joy]
2026-10-26 05:02:54
5
Zexizo :
Acheni shobo kwani tunawahi wapi na muda mwisho lini? punguzeni kuwapa watu stress mambo yatajipa tuu
2026-10-26 07:27:25
3
naghimmuhammad :
mkuuuu mm naomba saport yako nna maneno yako yamenikusaa
2026-10-26 11:01:51
1
Hashim Hamisi :
sisi tumelizika tuna angaika kwaajili yatumbo tu
2026-10-26 11:50:58
2
omyg :
msikubali kaka zangu,mim niliajiriwa kwa kulipwa laki na nus,nikapata mtaji saiv nimejiajir maisha yanaenda mororooooooo🥰mschana mdgo mweny biashara yangu
Ni ushauri mzuri lakini ulivouleta ni kana kwamba uyo mtu ana mtaji tayari, badala ya kumshauri aanze biashara akiwa kazini ikikomaa ndo aache wewe unaenda direct aache kazi, acha izo bro sio kila mtu ana mtaji.
2026-10-26 12:41:29
0
user61940174288770 :
mtaji
2026-10-26 11:31:43
1
Jackson Mchagga :
mungu akikupa neema usidharau wengine
2026-10-26 12:06:44
1
Magina Sitta :
Asante kwaushaliwako
2026-10-26 10:36:26
1
George Mhando :
alaf ukishaiachaa!!
2026-10-26 11:28:05
1
man B :
biashara gan
2026-10-26 10:24:10
1
man B :
niende wap
2026-10-26 10:23:57
1
Libe c mkwama :
kaka tatizo mtaji sio biashala
2026-10-26 11:05:06
1
To see more videos from user @kelvinkibenje_, please go to the Tikwm
homepage.