@gidetv_media: Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine. Padre Mkwizu ametoa wito huo wakati wa homilia katika adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya 30 ya Mwaka wa Kanisa, iliyoadhimishwa katika Kanisa la Kristo Mchungaji Mwema, Jimbo Katoliki Same, akisisitiza kuwa cheo, mamlaka na ulinzi alionao mtu havipaswi kutumiwa kama nyenzo ya kuwanyanyasa wengine. Amesema wapo watu wanaoteseka na kulia kutokana na matendo ya wengine wanaotumia nafasi zao vibaya, akibainisha kuwa baadhi ya watu wanaweza kupoteza wapendwa wao au kukumbwa na matatizo makubwa kutokana na maamuzi ya wenye mamlaka. 🎥 Radiomariatanzania #gidetv #trendingpost #newstoday #viralvideo
🄶🄸🄳🄴 🅃🅅
Region: TZ
Monday 26 October 2026 05:02:20 GMT
Music
Download
Comments
Pendo Hassan :
sema taifa lipone maana lina kwashakoo
2026-10-26 13:46:51
0
🙌… :
🥰🥰🥰
2026-11-01 19:22:53
0
To see more videos from user @gidetv_media, please go to the Tikwm
homepage.