Pia Ruto atakataa hivo 2027[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 15:40:57
0
Mr Baraka_mrombo :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ila
2026-10-26 15:53:17
0
happy :
Duuuh [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-26 15:34:01
0
Queen shubirah :
muache apo apo asira zikiisha atakubali
2026-10-26 08:39:37
1220
💍💍Chebet👑✨️🎀 :
Si mumtoe awaambie shida ni nini😳
2026-10-26 12:58:55
236
Jicho la mwewe :
Pia mm kuna siku hii ilinitokea nilkuwa sitaki kuenda home kabisa
2026-10-26 11:53:22
242
Briana Amos :
Iv aya mambo yapo kwelii
2026-10-26 06:40:29
397
may Abdallah :
hii ilishawah kutoke kijijini kwetu huko huyo baba alikuwa nimuuza vitu vya ndani ya tumbo la binadam aisee yani nimuuwaji siku anakufa jeneza yake inaingizwa msikitini kuswaliwa lilikataa kabisa kuingia msikitini wakamswalia nje wakati anapelekwa makabulini kuzikwa oyaaa jeneza inakataa kwenda makaburini linageuka subhanallah jamani jamani isikie tu mtu anasimulia usione hii dunia tunaoita jaman tufanye yalio mema mwisho wetu uwe mzur yaaa rabbi ninusuru na unipe mwisho mwema🤲
2026-10-26 10:19:50
185
Cristiano Chuga N stan!. Cr7 :
Hii dunia nikubwa , daaah mungu atusaidie
2026-10-26 12:04:44
0
liz tairah :
meaning mwenye alimua ako hapo 😭😭😭😭[Pray][Pray][Pray]
2026-10-26 10:18:02
75
Tajiri :
sifuatilii sana mambo ya maiti wanao kataa kwenda Kwao ....swali jingine
2026-10-26 06:24:31
154
ANGEL💘 MCUTE 🥰 :
hata mm ilifika wakati hadi nikajam
2026-10-26 11:37:54
48
Neema Mwakanema :
imani potofu mtu akifa amekufa hajui lolote wala kuwaza chochote
2026-10-26 09:39:45
58
Miss Clanzah :
Mtu alimuua akooh apooh ama amembeba pia
2026-10-26 06:26:41
83
Mwasham Said :
sometimes kauli ni mbaya na ni nzur sana🥺pngn marehem alisem siku nikifa flan sitak aje Kwa msiba wang half mlengwa akafika hiy siku matokea yak ndo haya🥺🥺hii ipo,Nina ushuhuda kabs ,Kuna mama mmja aliumwa sana lkn watt wake hawakumsaidia mpk yule mama akafark na watt walikuw na Hela za kutosha siku ya msiba wakaja kumzika mama yao wallah Iile jenez likawa zito mpk wanaume kulibeba likawa mtihan,🥺🥺mpk wale watt wakaondok ndo jenez likawa jipesi
2026-10-26 14:10:16
18
💝Joy💝 lin💝e💝 :
wenye tumekuja comment section kujua mbona tuko hapa🤣aki sisi🤣
2026-10-26 06:12:06
49
Claudia mchelsea :
wakisii mtatuonyesha mambo
2026-10-26 11:40:51
8
maliamjohn :
mhhhh hhh
2026-10-26 14:08:09
0
Anne kinyua :
aki ni ukweli Mimi nimewahi ona hivi bungoma
2026-10-26 13:41:18
9
mikinyarajos💞💞💞💞 :
Aki mwenye alimuua atoke apo aki
2026-10-26 06:32:23
31
angle :
yeah kama mtu ako karibu mwenye amemuuwa am mtu washai kosana ako karibu mwili haiwezi kupita gate🥲🥲🥲
2026-10-26 06:16:15
39
Eddy :
itakuwa kunakitu alisema enzi ya uhai wake wakaenda kinyume
2026-10-26 09:05:48
18
Remzy lady💞💞💞 :
mzikeni apo apo
2026-10-26 06:42:49
51
Paul Mwita :
achana nae kama hataki mwende zenu atakuja mwenyewe
2026-10-26 13:12:52
12
Ayeezzy bae :
Nilishawahi kwenda kwenye msiba ambao marehemu alikataa kuzikwa sehemu fulani akiwa hai, lakini ndugu wakapotezea wakaenda kumpeleka huko huko. Ajabu ni kwamba gari iliyobeba maiti (na hata zilizobadilishwa) zilikuwa zinaharibika njian hata walipobadilisha gar kadgaa, mpaka muda ukapita.
Walipokumbuka kauli yake ya kuonyesha eneo alilotaka, wakabadili uamuzi na kuchimba kaburi kule alikotaka. Gari ilitengenezwa ghafla na safari ikaiva, lakini kwa kuchelewa huku alizikwa usiku kwa mwanga wa tochi.
2026-10-26 10:51:34
27
To see more videos from user @official_mike_1, please go to the Tikwm
homepage.