@freddiehealthcare: ukiwa unapitia hali ya kuwa na gas nyingi tumboni na ukaambatana na dalili kama: 1.maumivu makali ya tumbo yakiambata na mgongo 2.kukosa choo 3.kuvimbiwa hata kwa mlo mdogo 4. kujihisi mzito chukua hatua leo sababu tumbo lako linahitaji msaada! #freddiehealthcare #tiktokhealth #gesitumboni