mm naota malakwa mala nipo kwenye msiba wa malehebu bamkubwa wangu
2026-10-26 15:37:00
2
mrs❤💋👀 :
ukiota marehem amekukumbatia
2026-10-26 16:50:33
1
this time will pass :
ukimuota marehem anakwambia umuoneshe njia wakat mnakutan njian inamaanish nn
2026-10-26 08:30:13
2
Nura Omar :
miaka 12 ilopita nilimuota dada yangu aliyekufa tupo sehemu tunapiga stori ikanyesha mvua Mimi nikaondoka mvuani yeye anasema nimuache pale alipo ilikuwa chini ya mti jee hii N8 vipi
2026-10-26 15:33:47
1
KIBIRITI :
KWELI SHEKH WANG
2026-10-26 10:59:35
1
lut :
mm wiki haimaliziki nakua namuota bibi yangu marehemu lkn tunaishi maisha yetu km kawaida tunapika tunazungumza
2026-10-26 08:20:02
1
sauda zungu :
niliota. dada angu anafanyishwa kazi kachakaa sana akawa ananiambia nimechoka Allah amrehem dada angu
2026-10-26 20:13:42
0
mamu :
allh ampe kaur thabita ab
2026-10-26 17:53:08
0
Ally Hassan :
shekhemi niliota marehemu anaumwa alafu kafa tena I mana ake ninini msaada tafazari
2026-10-26 20:30:12
0
milah :
hii imenifunza kitu na Kuna siku nikaitowa msikini na kanijia mzuri kaimarika kanenepa
2026-10-26 19:06:56
0
Adrash mkusa :
mimi baba yangu mkubwa amefaliki lakin naota mtu anakuja kunipa taalifa kwamba baba yako mkubwa amekufa bas hapo nalia mpka bs na hiyo ndo naiyotaga mara kwa mara
2026-10-26 10:10:02
0
divainy :
Na ukiota mtu kafa je wakati yuko hai inakua na maana gani
2026-10-26 21:56:41
0
user5166749198500 :
shekhe niliota marehem mama yangu analia
2026-10-26 10:11:21
0
Shuu baby :
nlimuota hiv mjombaang
2026-10-26 11:02:14
0
Mysarah 🦋 :
Allh ampe Kaur thabit ab
2026-10-26 15:58:21
0
Fatma Othman :
🥰🥰umesahau
2026-10-26 16:18:01
0
Aziza :
Asante shekhe nilikuwa sijui
2026-10-26 07:48:37
0
user6665198391286 :
ishaallah
2026-10-26 13:48:45
0
AI MUZE :
mm nimeota mtu alie kufa yupo hai nina zunguza nae kabs
2026-10-26 07:29:43
0
WAGA WAGA :
😎😎😎😎😎🚩🚩🚩🚩🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉
2026-10-26 08:27:43
0
Miss p :
😁😁😁
2026-10-26 10:07:11
0
Tulole :
❤️❤️❤️
2026-10-26 07:29:10
0
CHOYO HUMUUMIZA MTU ROHO :
🙏🙏🙏🙏✔️✔️✔️✔️✔️
2026-10-26 17:13:57
0
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm
homepage.