kweli wanatujaza sana wengine wagonjwa wa pumu kwahio hewa inakua nzito sana tuhurumieni tunasimama kijagwani mpaka chukwani tunajazwa sanaaaa
2026-10-26 17:05:47
12
Dude khamisi Dude :
Mmmmmm
2026-10-27 08:07:47
0
ppkplaty :
tuliyajua haya 😅
2026-10-26 20:06:05
10
Abuuzaras92 :
ayo ata yaje mia 700 tusibiri muda tu
yatalala yote
mambo ya inchi hii yanafanywa kisiasa tu wala hawafikiriii
muda bado ila tunaforce
2026-10-27 03:18:53
12
M💯 :
Ni kwepi izo gari hazikidhi mahitaji ya watu bali tumelazimisha mambo ambayo hayajapangiliwa vizuri😳
2026-10-27 04:08:03
6
ali aguero :
sisemi kitu ikifika darajabovu airport
2026-10-27 17:21:23
1
Keys :
Gari zishakuja tele, zitaanza kazi hivi karibuni, hatutaki Msongamano wa madaladala njia ya airport kabisaa, Inshallah na hapo Darajani wamalize and aondoshe hayo Madaladala maana fujo tupu sehemu ndogo magari Mia yanageuza zahma tupu hamna utaratibu, wengine wamepark kabisaa
2026-10-26 18:24:24
4
𝐂𝐡𝐮𝐧𝐝𝐚❤️☠️ :
mitano tena 🫡
2026-10-27 06:57:40
1
DIRECTOR ISCO FAKAL :
na bado hamjasema mtasema tu hiyo ndo zanzibar kutak mambo ya watu ata bado hatujafika
2026-10-26 23:48:28
4
mohammedmaamun :
ruti mmoja hali ni hii
je mmji mzima itakuaje?
2026-10-26 22:22:18
2
abuuahmad :
katika sehem ambayo serikali yetu imefeli ni hapa gari izo hazitoshi kwa route ya chukwani buyu
hii ndo hatari ya kuiga kiongozi akienda nje ya nchi akikuta jambo ulaya lazima ajenalo hajuwi wenzao wamejiandaa miaka viongozi wetu wanakurupuka sanaa hawafanyi tasmini faida madhara hayakutasminiwa
2026-10-27 06:23:47
2
ahmed juma :
vp tena situlifurahi na kujirusha vp tena tustahamilini tutazoea
2026-10-27 18:38:38
1
Ally dele :
kulazimisha mambo tu
2026-10-27 04:43:44
1
Hakwa Southern Shirazy, Naqat :
Jee yakiwepo ya binafsi mud awote hakuna shida ya kuongezeka abiria? Na hio matokeo mnayotuonyesha sasa ni muda wote hali iko hivyo au mara moja moja tu?
2026-10-27 09:11:46
0
Sadik Said :
Muhali wetu wa uzanzibar kipeana kazi Kwa kujuana bila ya kuangalia vigezo vya kiutendaji
2026-10-27 04:47:01
1
user2262819392980 tibala :
kweli kk
2026-10-26 17:38:27
1
Kibona Mpemba :
Singapore hio
2026-10-27 15:20:07
0
abdikocha10 :
babu watuachiliy bas z mwanz zifany kz t
2026-10-27 16:50:25
0
dogomani🔰 :
iyo ndo zanzibar mpya maisha mapya
2026-10-28 08:00:49
0
user3175912903162 :
iyo ndio ccm
2026-10-26 21:54:22
0
To see more videos from user @bimany, please go to the Tikwm
homepage.