haiwezekan ao watakuwa walikuwa wanatokea pemben humo oya siyo powa ujue😅😅
2026-10-26 13:59:30
2
CHIDY CLASSIC. :
dereva apew tunz na akabidhiwee bajet ya nchi yet tutafika mbali
2026-10-26 09:35:14
6
Karim_fighter :
iyo costa au
2026-10-26 14:37:51
1
afaan_mbappe :
kwa hesabu zangu hio gar imeingia watu 31 akiwemo dereva mana kuna watoto wqchanga walibebwa bila kuhesabiwa , sasa hapo iko iv sio wasafir bali wameenda kuwapokea watu kutoka pemba
2026-10-26 09:54:21
3
Altiwany :
from pba
2026-10-26 09:17:58
1
dulla Andre :
vipi hilo ni fuso ama sijaewa
2026-10-26 09:17:54
1
josejose36jo :
POLICE WETU TUNAWAPENDA SANA.... KWELI MNASAIDIA KUEPUSHA AJARI NA VIFO BARABARANI......MUNGU AWALINDE POLICE WOTE TANZANIA.....AMINA
2026-10-26 10:48:50
1
Rupia Adventure Ltd :
27 na watoto je[Tears of joy]
2026-10-26 15:13:57
0
Issa Karim :
dah hii town ace
2026-10-26 10:23:41
1
ummy shaqour :
mashallh
2026-10-26 10:51:32
1
Eliudy Mevoroo :
🤔🤔🤔 Hatari
2026-10-26 09:16:47
1
4Wivesin1 :
hii ni AI au
2026-10-26 12:41:58
0
Mrs aly :
huyo dereva munamuon yupo sw😂
2026-10-26 13:12:54
0
fat mother 💕 :
hii bila shaka ni Zanzibar yangu mtihan tena ukute famili moja yote ikitokea ajali vilio haviishi
2026-10-26 14:13:24
0
Mrs aly :
wamekaa vp
2026-10-26 13:11:33
0
be :
siku akipewa Kosta huyo atatubeba wazanzibari sote😂
2026-10-26 10:42:38
3
official dant :
wanapitia mlango mwingine
2026-10-26 10:32:21
1
Salim Hamad :
coaster
2026-10-26 10:17:56
1
Denis Nicholas :
Madrasa ilikua inafanyiwa delivery [Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-26 10:34:10
1
Martin Ferdinand :
daladala hyooo
2026-10-26 14:09:45
0
PROPHET GODY🔥🔥🔥FIRE :
huyo aliyewapanga aje anisaidie kupanga maembe kwenye gunia
2026-10-26 14:45:52
0
Mkaratiiy :
ajiriweee tuu kwenye mabac ya mwinyiii🤣🤣🤣 akatupange vizuriii
2026-10-26 13:58:06
0
no love 💔 😔 :
ss kakusudia nn km sio kutft kesi ukoo mzm
2026-10-26 14:05:09
0
Life is a long journey. :
mtu anatoka ndani ya gari anajinyongoa your alikuwa anaimia sana kwakweli alibanwa wakati alipo kaaa
2026-10-26 14:28:56
0
CAMANDA MITUMBA :
sasa unawaanika watu wanajificha hujui kama hiyo unaifanya ni bidaa
2026-10-26 11:48:15
0
To see more videos from user @aboth7, please go to the Tikwm
homepage.