aliniambia mm ni nukhus kweny maisha yak mpk leo halijatoka kichwan
2026-10-26 20:21:04
1
@ur_AtyđŠĩ :
Alinamby ataoa babe mama wakeđ
2026-10-26 18:37:38
0
RashimyđēđēRamadanđĻđĻ :
we sio hadhi yangu nilikuwa nakusitiri tuuu daahđđđ
2026-10-26 20:19:55
2
amour :
alinambia atokua namda na mm tena atakua bize mda mwingi đĨēđĨēđĨēđĨēđĨē
2026-10-26 18:29:28
3
Zurey Suley :
kwangu mm ni kama maye kila mda kashfa tuu
2026-10-26 20:16:07
1
yuissa :
Alisema siwezi kukupenda mana si ndugu yangu ishi maisha yakođĨēđĨē
2026-11-01 20:54:03
2
omy mgo :
daaa Kila nikikumbuka naumia2[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-27 05:49:59
2
001 :
AlisemaâĻ.siwezi kua na ww nikamuuliza kwa nn akasema hata Allah akiwa katuandika kua pamoja nitaomba dua ucje wahi tokeađđ
2026-11-01 08:41:13
2
zumayrah :
ni mengi sana mengine ni aibu kusema
2026-10-27 12:08:37
2
wardatmedy :
kwel????
2026-10-27 05:04:42
0
wardatmedy :
mung atupe subra t
2026-10-28 07:55:37
1
sayfad04 :
nilomba elfu 5 kwa mume wanngu wa ndoa nikiwa na miez 6 tu ya ndoa yetu akanijibu hana pesa chakushangaza na kuskitisha kampa pesa kamnunulia madrop ya maji mke wa mtu pamoja na kumkodia gari aende hospital nilipomuuliza alinambia mm cna hali maalum đĨšđĨš
2026-11-02 11:38:24
1
Ų Øŗ ØąŲØšØĒ :
Aliniambia nawasubirisha matajiti wewe nani đĨē
2026-11-02 16:03:35
1
Angelđ¤ :
au unataka na mimi nikae nyumbani kama wewe daahh siwezi sahau nilikua sina kazi
2026-10-27 22:06:25
1
đĻ :
alinianbia mimi ni masikini na namtia nuskis ndonmana haendele lakin tangu kanipa talaka alihamdulillah maisha yangu yamebadilika mwenzangu kila siku afadhali ya jana
2026-11-02 06:29:42
1
muljan abby :
nimepangiwa mke wa kuowa na mmngu kwahiyo siezi kukuowa Niko kwako sababu unanipa amani lakini siezi kukuowa đđđđđ
2026-10-27 07:22:30
1
issa_benneđ¤đ :
msg ref y kulalamika af nikajibiwa. kwaiyđđ¤Ŗ
2026-10-27 15:22:26
1
Elizabeth Michael apolonalijay :
aliniambia me sio chaguo lake
2026-10-26 18:35:38
2
To see more videos from user @o.honey_quotes, please go to the Tikwm
homepage.